Hayawi hayawi.....Hatimaye TCU yafanya kweli!......

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Hawa TCU kweli kiboko!
Si walisema kwenye tar 25 watatoa selection overall?
Hayawi hayawi sio lazima yawe!

Naona wameamua kufanya kweli!
Ila punguzeni mihemko jamani!

Matusi hayaruhusiwi!
 
Hawa TCU kweli kiboko!
Si walisema kwenye tar 25 watatoa selection overall?
Hayawi hayawi sio lazima yawe!

Naona wameamua kufanya kweli!
Ila punguzeni mihemko jamani!

Matusi hayaruhusiwi!

kwani wamefanyaje?
 
Hawa TCU kweli kiboko!
Si walisema kwenye tar 25 watatoa selection overall?
Hayawi hayawi sio lazima yawe!

Naona wameamua kufanya kweli!
Ila punguzeni mihemko jamani!

Matusi hayaruhusiwi!

mkuu umejiwahi mapema manake kuna watu wanavichwa vya maji ,fasta tu umepokea tusi
 
naona wadau watakuwa wanashangilia nauliza kama kuna mtu anajua link ya watu waliochaguliwa udom anijulishe wadau
 
Hawa TCU kweli kiboko!
Si walisema kwenye tar 25 watatoa selection overall?
Hayawi hayawi sio lazima yawe!

Naona wameamua kufanya kweli!
Ila punguzeni mihemko jamani!

Matusi hayaruhusiwi!

Leo kuanzia saa mbili usiku TCU itaonyesha live waliochaguliwa jiandae kudownload pdf ili uone ulipopangwa
 
Nyiye watoto acheni kudanganyana Tcu,imeanza kutoa majina baadhi ya vyuo sio kwamba ndo yote yamesha toka,Je kama wenye Diploma by NACTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…