Hilo shambulio limekupa faida gani wewe na familia yako.Habari za kuaminika uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa na ndege zote zilikuwepo uwanjani hapo zimeteketezwa bila huruma yoyote.
Waliokuwa wanawasifia hawa Vibaka Njoo I tena muwasifie kipigo cha leo ni katika kuwatia adabu kutokana na jaribio lao la kupiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion.
Wananchi wa Yemen sasa hivi wanapiga duo ambazo hazina maana kwa kuwa wao walijiingiza kwenye ugomvi usiowahusu wahusu.
Cha ajabu hata baba yao Ayatollah hawajaweza kuwasaidi kabisa yeye kafulila zake huko Tehran
Sasa hii Ndio akili ya kizombi 🤣🤣🤣Mm nimependa walivopiga ndege ili kisasi kiwe kitamu zaid na cha haki Houth ajawai niangusha !!!!
lazima wafunge Anga la Israel lote !!!
jambo la kuvutia zaid wao Yemen awana cha kupoteza uko Yemen akukuwa na mashilika ya ndege yanayoenda uko. !!!
Tofaut na vile atapoteza Israel !!!
Kazi ya IRAN Israel inachezeshwa Sindimba kila kona.!!!
Majibu utayaona kwa macho yako ayo ayo upe muda nafasi.
We jamaaa sikuizi umeacha kula migebuka naona kama unakuwa mtu kamili ivi !!!Yemen hao wana nini cha kupigwa si afadhali hata Tanzania wana maeneo ya kupiga.
Uyo wa mwisho kajaza taksma ya gomba mdomon alafu vtoto kama hako kakifumuliwa ubongo wanakafunga kama pipi kifua wanazunguka nako kulia kuwa wameua wanawake na watoto kwanza hata hao wanawake niuongo wanaume pia huko huvaa magauni kwahyo nirahsi kudanganya kauliwa mwanamke kumbe ni dume.
Kuichokoza Israel ni sawa na kuweka kidole kwenye mdomo wa mamba mwenye njaa ya wiki eti kuona kama anaweza kukitafuna.Habari za kuaminika uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa na ndege zote zilikuwepo uwanjani hapo zimeteketezwa bila huruma yoyote.