Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa “Uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa”

Hii haisaidii chochote kipigo kwa wahouth kiko palepale!!
 

Attachments

  • IMG_2767.jpeg
    98.2 KB · Views: 15
  • video_2025-05-06_16-25-36.mp4
    8.2 MB
yani wale mbayu wayu waliokuwa wanadai eti Waisrael wana akili zaid ya Binadam wengine !!!!!

kwa akika aibu naona mm awa jamaaa ndio wawe na Akili zaid awa ata kutupia kombora kutoka Israel to IRAN awawezi ndio wawe na akili zaid !!!!

mbaya zaid Wa Iran wanawachezesha ngoma vile Muiran anataka !!!!

embu ona IRAN ipo na Aman lkn inaipiganisha ISRAEL na wala Gomba wa Yemen!!!!!!!!

Bado tu mizombi ipo na majinga mazumbukuku wanawaona Waisrael ndio wenye akili zaid kweli akili kila mtu anazo zake !!!!

Je WaIran kwann wasiwe ndio wenye akili zaid. kwake Salama !!
lkn adui yake anampigishia nch zengine sasa Israel katupwa apambane na wauni wala Andasi GOMBA !!!

mijitu ya Iran ndio yenye Akili zaid tukiacha propaganda!!!!
 
Wewe nawe kusema ukweli kwenu ni Mwiko? Kila kukicha kusema uongo kwa niaba ya Magaidi tu hapa unaanzisha uongo mwingine usiowahusu na maana yoyote!!!
 
Safari hii mtanyooka tu Mbwa nyie,
Mnasifia-sifia sana magaidi acha waisome namba ya kiyahudi!!!
Booooom
Unafaidika nini katika hili. Akili ya mtu mweusi ni nyeusi pia

Huwa nafuatilia jinsi unavyoshangilia mafanikio ya Israel 🇮🇱. Yaani una vibe kuliko wayahudi wenyewe.. Mimi ni Mkristo lakini siwezi kuwa mjinga kiimani kama wewe.
Wewe inafikia hatua unawatukana waislam kwa maneno mabaya na dhihaka na unakuta hakuna neno lolote baya ulilotolewa wewe. Kiukweli wewe jamaa SAIKOLOJIA INAKUTAFSIRI KAMA MTU MJINGA NA MTUMWA KIAKILI. Mtu kama wewe kumtukana Mama yako haishangazi
 
Unafaidika nini katika hili. Akili ya mtu mweusi ni nyeusi pia

Huwa nafuatilia jinsi unavyoshangilia mafanikio ya Israel 🇮🇱. Yaani una vibe kuliko wayahudi wenyewe.. Mimi ni Mkristo lakini siwezi kuwa mjinga kiimani kama wewe
Pumbavu kabisa nani amekuuliza dini yako? Unafikiri ukijisingizia wewe Mkristo ndiyo utatutisha Acha kujipendekeza kwa Wakristo Acha ujinga wako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…