hayawi! hayawi! huwa.. Gor vs Yanga leo, ila uzalendo kwanza

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mimi mshabiki wa Yanga nikiwa Bongo, lakini leo hii naegemea upande wa Gor Mahia, maana uzalendo na Ukenya kitu cha msingi na muhimu. Bahati mbaya sikupata nafasi ya kusafiri hadi Bongo nikawashabikie Wakenya wezangu. Natumai mashabiki wa Simba akina kadoda11 na wao wataiga na kushabikia Yanga, ila niliwashangaa sana waliposhabikia Waarabu dhidi ya Yanga.

Last edited by a moderator:
Gormahia itapigwa na mie nasemA ipigwe tu maana hamna namna nyingine....
Dar Young Africa 2-0 Gormahia from kibera Kenya
 
hii koment yako itawakera wakenya

Sasa mbona Wakenya wakerwe na comment kama hiyo, tatizo lake nini. Amepigia debe timu yake na hiyo ni kawaida, sisi pia tutashabikia ya kwetu.
 
Gormahia itapigwa na mie nasemA ipigwe tu maana hamna namna nyingine....
Dar Young Africa 2-0 Gormahia from kibera Kenya

Kuwa makini na unachokiomba maana mashabiki wa Gor wanakuskiliza.

msalimie huyo waziri wa nyege,mi simba mnyama kama vp wapigeni tu yanga manake watasumbua kwa makelele
 
bao ni 1-1 half time now, yanga wapo pungufu mchezaji wao ngoma alipewa kadi nyekundu
 
MK254, shukran kwa hii nyuzi!

TEMBEA NA SIRKAL!!!

Last edited by a moderator:
But Yanga wajue hawa gor wako hiv wakifungwa vurugu"wakifunga ni vurugu"hao ndio jaluo.com...
 
MK254, shukran kwa hii nyuzi!

TEMBEA NA SIRKAL!!!

Yanga wamepata kichapo, Gor wameshinda 2-1.... teh! teh! teh!
Poleni Yanga ila ndivyo ilivyo, nyie bado wangu lakini hapa ilibidi uzalendo kwanza. Gor hoyyeeeeee!!! Giniwasekao..
 
Yanga wamepata kichapo, Gor wameshinda 2-1.... teh! teh! teh!
Poleni Yanga ila ndivyo ilivyo, nyie bado wangu lakini hapa ilibidi uzalendo kwanza. Gor hoyyeeeeee!!! Giniwasekao..

Uni gi yawi Simba onge e mshindano ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…