Hayawi hayawi huwa, safari ya kuuza mafuta inaanza leo Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Rais Uhuru leo anakata utepe kwa lori la kwanza kwenye msafara utakaosafirisha mafuta ghafi kuelekea Mombasa. Hii inaingia kwenye historia kama taifa la kwanza EAC kuuza mafuta na ni mwanzo mzuri ambao mafanikio yake ya siku za usoni yatabadilisha nchi pakubwa, haswa ukanda huo wa Kaskazini ambao kwa muda mrefu umetelekezwa.

Mahesabu yalishafanywa ya kuhakikisha wakazi na wazawa wa ukanda wote huo watanufaika, waliridhia kila kitu baada ya mazungumzo ya kina yaliyohusisha wawakilishi wao. Mungu ibariki Kenya na Afrika, maana mwanga mpya unaanza kuonekana kwa mbali.

Pia bomba la mafuta tayari limeanza kufanyiwa kazi na ni muda mfupi litafukiwa.


Storage tanks are seen at Tullow Oil's Ngamia 8 drilling site in Lokichar, Turkana County, February 8, 2018. /REUTERS

President Uhuru Kenyatta is expected in Turkana today for the flagging off the first batch of crude oil from Lokichar oil fields.

State House spokesman Manoah Esipisu confirmed the trip via a tweet from the Sagana State Lodge on Sunday morning.

"From a Kenyan treasure, heading to treasure. Mt Kenya looms large in the background as we head to Turkana to catch a glimpse of our oil," he stated.

The president is expected to address revenue sharing concerns among residents who are not comfortable with the 5 per cent share of proceeds from the mineral.

Following a meeting with Turkana leaders at State House last month, Uhuru announced that the public will get 75 per cent through the national government.

The county would get 20 per cent while the local community will be guaranteed five per cent of the proceeds if the pilot succeeds.

It is the first time Kenya is extracting oil resources in the northern part of the country.

Tullow Oil Plc, the company exploring the resource, says an estimated 60,000 barrels of crude oil will be produced from the Ngamia and Amosing fields per day.

The president is also expected to address infrastructure challenges as the region is reeling under the effects of flooding which has rendered most roads impassable.

The bad state of Kainuk bridge, which is the main link to Turkana, poses threats to the smooth movement of trucks ferrying oil from the mine fields.
The mineral will be hauled by road in wait for a 900km export pipeline whose construction is underway.

Tullow Oil Plc, according to Business Daily, has hired WorleyParsons - an Australia based firm, and UK's Wood companies, to offer services for the foundation phase of the project.

Turkana Governor Josphat Nanok has urged locals to allow the first crude to be transported and tested for the market.

This followed resistance by locals led by rights activist Simeon Ricardo who termed the deal of oil revenue share as about "self-interests" and one that didn't involve the community.

"Our leaders need to know they serve our interests. If anything concerns the community, they should consult us first," Ricardo said.

Turkana is the poorest county in Kenya. The Kenya National Bureau of Statistics says 88 per cent of the people live below the poverty level, compared to 45 per cent nationally.

Oil was discovered in Lokichar, 90 kilometres from Lodwar, in 2012, and most locals hope the start of output will accelerate development.
Uhuru to flag off first crude from Turkana oil fields
 
such moments are where we differentiate ' tuta-' from ' tuna-'
The county would get 20 per cent while the local community will be guaranteed five per cent of the proceeds if "the pilot succeeds".

It is the pilot program its not even yet confirmed it will going to yield anything touchable, now it's just the chicken feed
 

Attention seeker huwa unapata kiki sana ukijibiwa na Wakenya, anyway vipi Mtwara gesi limewatoa wakazi wake kwenye lindi la umaskini ama ndio mnaichuma kimabavu bila kutaka kujua wazawa wa huko wanaishi vipi.

Geita wanatawala kwa umaskini Tanzania wakati wao ndio wenye asilimia kubwa ya madini ambayo huwa mnaliwa kila siku.
Geita ndio Wilaya maskini Tanzania je ni sahihi?
 
Stop talking about Tanzania's natural gas and Lokichar stuff at the same sentence.

Now shoot from that 45% to nearly 60% to it's contribution to the electric production and the pipeline usage is just 6%, bigger projects under the construction.

 
Natural gas contribution kwa national grid exceeds that of hydro currently in Tz, kwa iyo wana wa mtwara wanapata faida ya power.
Karibu mtwara
 
Natural gas contribution kwa national grid exceeds that of hydro currently in Tz, kwa iyo wana wa mtwara wanapata faida ya power.
Karibu mtwara

Kwetu sisi pato la mafuta litagawanywa kwenye mfuko wa taifa, lakini kuna fungu maalum kwa wakazi na wazawa wa huko yanakochimbwa.
Sio kama kwenu wilaya na mikoa inayochimbwa gesi na madini wanaishi kwa umaskini wa kutupwa, kila kitu kinaishia Dar.
 
Stop talking about Tanzania's natural gas and Lokichar stuff at the same sentence.

Now shoot from that 45% to nearly 60% to it's contribution to the electric production and the pipeline usage is just 6%, bigger projects under the construction.

Natural gas contribution kwa national grid exceeds that of hydro currently in Tz, kwa iyo wana wa mtwara wanapata faida ya power.
Karibu mtwara
Ati 1350MW?? Hehehe Nchi ya Watu millioni sitini inatosha umeme mdogo hivi?
 
Natural gas contribution kwa national grid exceeds that of hydro currently in Tz, kwa iyo wana wa mtwara wanapata faida ya power.
Karibu mtwara

Also the third-party enterprises or businesses are now more booming than before. Tell the guy to visit the place.

CC: MK254
 
Walisema Kenya haitawahi safirisha/export mafuta yake sasa waone hapa wakitokwa mipovu na kuweweseka huku wakingoja Uganda iwatengenezee pipeline from Hoima to Tangatanga. Hawa Watu hawajui ngoja ngoja utapata pipeline inatokea Hoima to Lamu.
 
Upuuzi kabisa huu, Kenya watakuwa wanazalisha 500barrels/day, bomba la Uganda litakuwa lina uwezo wa kupitisha 200,000barrels / day. Kwa lugha nyepesi, Uganda watahitaji siku mbili kujaza meli ya mafuta yenye uwezo wa 400,000 barrels wakati Kenya watahitaji siku 800 au miaka miwili na nusu kujaza meli moja ya mafuta ya 400,000. Jubilee fanatics endeleeni kupiga vigelegele ila sote tunajua hii programe ni ya kisiasa tu.
 
Ati 500 barrels hahaha very laughable, weka hapa facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…