Hayawi hayawi huwa, safari ya kuuza mafuta inaanza leo Kenya

ngoja nikuletee ya tanzaniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 793232
View attachment 793233

Sasa umekurupuka na kuanza kuokotezza kla aina ya mapicha, jadili mada kitaalam, kuna aina kadhaa za poverty levels, ikiwemo extreme poverty.
Nmekupa ripoti ya World bank inayosema nyie 70% mnaishi chini ya buku nne, unahangaika kwenda kuokta mapicha unaniquote mara tano......
Tuliza moto usome nini kinazungumzwa kuhusu kwanza.
 
uhahaha soma hio link vzr au nikusomeeπŸ˜€πŸ˜€
ndio maana hua nawaambieni usibishane na mtu kitu hukijui hahahaha niliwaumbua wenzio hvo hvo hawana hamu na mmπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

http://www.worldbank.org/content/da...eport/tanzania-poverty-assessment-05.2015.pdf
 
This is absolute bullshit. Toa hiyo list hapa.
hahahah hii ni dalili ya hasira pia ni dalili ya kushindwa tatizo lenu fikra zenu ziko kenya na sio nje ya kenyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahahah hii ni dalili ya hasira pia ni dalili ya kushindwa tatizo lenu fikra zenu ziko kenya na sio nje ya kenyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sawa nimewacha hasira. Unasema source ni world bank, leta evidence.
 
Sawa nimewacha hasira. Unasema source ni world bank, leta evidence.
good siku zote ukitaka kujifunza soma kwa watu na ujifanye mjinga sio kupupuruka tuπŸ˜€πŸ˜€

world bank waliongelea 2011 na 2012 kua below poverty line in tanzania was 28% na 2015 kuna another official link ili drop mpaka 22.8%


http://www.worldbank.org/content/dam/Worldbank/document/Africa/Tanzania/Report/tanzania-po
verty-assessment-05.2015.pdf




na hii ni ya 2015 my friend

Tanzania Population below poverty line - Economy
 
Nimesoma page za kwanza kwanza. Sisemi kitu.
 
Nimesoma page za kwanza kwanza. Sisemi kitu.
yap na siku zote below poverty line inakua measured kwa kuangalia basic needs especially food na ukumbuke 70% of tanzanians are farmersπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

ndio maana leo unaona unemployment rate in tanzania is 2.7% wakat kenya is 40%
 

Haya malink unarusha rusha na mapicha hayasidii kitu, nimekuambia jifunze jinsi World Bank hupima umaskini, kuna viwango tofauti, na nyie kwenye kiwango cha below $2 a day mpo 70%, nimekupa hadi na ushahidi wa World Bank, mengine yote utahangaika ukifukua links na mapicha usiku wote ila ukweli utabaki pale pale.
 
angalia maelezo ya world bank hayo maelezo wamesema other sources said je other sources ni wakina nani na ni taarifa ya lini lakini sio world bank wamesema heheh shuleni ulienda kula bajiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

unaposoma maelezo soma kwa uelewa sio kupanicπŸ˜›
 
Its a pilot project, hata wewe umehighlight to grow to 2000 barrels per day to 80,000 once the pipeline is complete,not forgeting we have more oil blocks to explore,sasa sijui povu mingi ni ya nini
 

Ingia kwenye taarifa za World Bank nilizokupa, usome hii statement mara kumi na kama hutaelewa zadi ya hapo kwaheri..

"Although there has been recent growth that has helped Tanzania’s poorest, the report emphasizes that approximately 70% of Tanzanians continue to live with less than $2 per day."

Kwa hivyo Watanzania 70% wanaishi chini ya buku nne kwa siku, hela za kikombe cha kahawa. Haya kwaheri maana naona umeganda na hutoelewa hata dunia ifike mwisho.
 
mm nabishana na mtu mwenye akili mwenzako kaelewa vzr kabisa heheheh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ labda akusaidie kukuelimisha
 
mm nabishana na mtu mwenye akili mwenzako kaelewa vzr kabisa heheheh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ labda akusaidie kukuelimisha
Usiniingishe kwenye huo mjadala. Mimi simo humo πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…