tanzania ina gas na ina bomba la gas from mtwara to dar almost 600km na sasa gas inasambazwa majumbani kupitia kwenye mabomba dar lakin huskii hapa tukiongeaππGuyz tuendelee kuongea mambo ya mafuta. Mambo ya economics tuachane nayo. Atleast Kenya itakuwa the first country in East Africa to export oil. Kenya tutazidi kusonga mbele majirani wakisoma namba.
Mk254 ni mtu ninayemheshimu sana. Nilikuwa nasoma posts zake kutoka 2015. Yeye na sam999 ndio watu niliowafuatilia kwa karibu. Kwa hivyo siwezi mtusi. Pia nimesoma report ya Mk254 na ni kweli anavyosema kuwa world bank imesema T.Z 70% wanaishi below $2 .Kwa hivyo ako sahihihahaha msaidie mwenzio kumuelimisha ππ yani anaakili za kipuuz sana
Kwenye gesi mko sawa. Kwa hivyo East Africa kwa ujumla tunazidi kutanua, na ni jambo nzuri kuona kila nchi ikisonga mbele.tanzania ina gas na ina bomba la gas from mtwara to dar almost 600km na sasa gas inasambazwa majumbani kupitia kwenye mabomba dar lakin huskii hapa tukiongeaππ
hatujasema umtusi anapokua hajaelewa anaelimishwa tu asipotaka kuelewa tunamuachaMk254 ni mtu ninayemheshimu sana. Nilikuwa nasoma posts zake kutoka 2015. Yeye na sam999 ndio watu niliowafuatilia kwa karibu. Kwa hivyo siwezi mtusi. Pia nimesoma report ya Mk254 na ni kweli anavyosema kuwa world bank imesema T.Z 70% wanaishi below $2 .Kwa hivyo ako sahihi
hehehe usisahau na bomba la mafuta kutoka uganda amabalo lilitaka kuwatoa rohoπππ maana mulilia kenya nzima nusu ya kufaKwenye gesi mko sawa. Kwa hivyo East Africa kwa ujumla tunazidi kutanua, na ni jambo nzuri kuona kila nchi ikisonga mbele.
Bomba bado halijaanza. Kwa sasa tujikite kwenye realities sio fantasies ππhehehe usisahau na bomba la mafuta kutoka uganda amabalo lilitaka kuwatoa rohoπππ maana mulilia kenya nzima nusu ya kufa
Nakubaliana na Mk254 kwamba report inasema Watanzania wanapokea chini ya $2 per day. Sielewi kwa nini unasema Mk254 kakosea. Basi nionyeshe ni wapi yeye kakosea.hatujasema umtusi anapokua hajaelewa anaelimishwa tu asipotaka kuelewa tunamuacha
hehehe sio kila unaemuheshimu akawa na akili unaeza muheshimu hata kama mtu ni bogus tuπππ
soma maelezo walichoandika na world bank report nimekupa bado wapi hujaelewa πππ
heheheh world bank alipokosea sisi tunaongelea below povert line kua tanzania ni 22% na kenya ni 45% na ushahidi upo so wapi yeye anapata shidaNakubaliana na Mk254 kwamba report inasema Watanzania wanapokea chini ya $2 per day. Sielewi kwa nini unasema Mk254 kakosea. Basi nionyeshe ni wapi yeye kakosea.
do u knw that tanzania has oil pipeline from dar to zambia????πππBomba bado halijaanza. Kwa sasa tujikite kwenye realities sio fantasies ππ
Really? When was it built?do u knw that tanzania has oil pipeline from dar to zambia????πππ
Ichoboy naona leo sio siku yako. Mk254 amekutoa jasho kweli.Uwe na usiku mwanana usiokuwa na bugdha, mushkir na tafarani yoyote. Hio ni kiswahili changu feki.do u knw that tanzania has oil pipeline from dar to zambia????πππ
Naona kuna jamaa ametoa povu kweli. Hizi habari hazifurahishi wengi. Hahaha. Wacha ninywe kahawa.πππππ
Aiwewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameona wayabebe kwenye pickup sababu kwenye Bomba yatakaukia humo kabla ya kufika melini kwa namna yalivyo kiduchu
Mk254 ni mtu ninayemheshimu sana. Nilikuwa nasoma posts zake kutoka 2015. Yeye na sam999 ndio watu niliowafuatilia kwa karibu. Kwa hivyo siwezi mtusi. Pia nimesoma report ya Mk254 na ni kweli anavyosema kuwa world bank imesema T.Z 70% wanaishi below $2 .Kwa hivyo ako sahihi
Jamaa haelewi poverty line ya Kenya (Lower middle income) ni $3.20 per day while ya Tz (LDC) ni $1.90. I avoid engaging stupid people like him but today you really dragged him through a rocky path. Kama ni povu amelitoa.Huyo muache, ni baadhi ya wale hupata kiki sana wakijibiwa na Wakenya, ameng'ang'ania kupost mapicha ya sijui indexmudi
Kitu hakifahamu ni kwamba indicators za poverty level zimekua revised, wao kwenye $2 a day wapo a freaking 70% countrywide.
The World Bank Now Has Three Poverty Lines. Why Not Three for Energy?
The international poverty line has just been raised to $1.90 a day, but global poverty is basically unchanged. How is that even possible?