Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

pj ni chairman wa ar wing mwanyasi kamuambia amtunze mwali kama mwenyekiti alivyokuwa anatunzwa na ta wing.. Ila pj si muhusika mi elewa hivyo kama nimekosea mnitoe tongotongo


Wewe ni genius.....

cc: Fixed Point, The Boss...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Mungu akupe heri katika maisha mapya!
Hakikisha yule member wa chuga niliyekwambia tunamleta Ta!
 
sasa mgegedo mfiche hata ndoa nayo shurti kwa TUME YA RASIMU YA KATIBA!
ehehheheehhehhe jf bana
hongera mwaya YNNAH
 
Last edited by a moderator:
Toeni shaka tanga wing kwani nitaendelea kuwa wenu msijali.


Ahhhhhhhhhhhhhhhhh,

Mbona hivyo tena YNNAH....wewe kubali yaishe ili uwekeze nguvu kwenye kujaza nafasi yako kama alivyokuagiza katibu Mwanyasi...

We will really miss you so much...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
[FONT=book antiqua said:

Tanga Wing tunaleta mwali chuga, ni raha sana
[/FONT]

Kikwetu hilo neno lina maana kali
 
Kikwetu hilo neno lina maana kali


Ndiyo raha ya kuishi kwenye rainbaw community....wengine wanakula vyura, nyoka na mijusi wakati wapo wanamwogopa ng'ombe kama shetani...bila kuwasahau wanamkimbia mkuu wa meza a.k.a mbuzi katoliki...

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…