Hayawi Hayawi sasa yamekuwa YANGA BINGWA

Mnyama mkuuubwa ila kachinjwa na kiwembe tu kama kawaida.
 
Mnyama mkuuubwa ila kachinjwa na kiwembe tu kama kawaida.
Simba supporters bado hawakubali kama yanga imeshinda wakati hata magoli tuko juu Kwa 10goals halafu wanasema yanga mjinga ivi mtu anakuongoza kwenye kila mtihani na hata mwalimu akiuliza swali darasani yeye anakuwa wa kwanza kujibu utamwitaje mjinga?
 
Hawa jamaa si unawajua kwa ubishi? Ila watanyamaza muda mfupi ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…