MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 187
Jamaa naona wamemlima mambo ya copyright
mbona kwikwi bana?
Haye anapigwa sana! Sijui kama atamaliza hili pambano[/QUOTE]
looool, umenichekesha sana!
acha afunzwe adabu kidogo,...hii ni heavyweight division, sio cruiserweight!
mhh watu hamna uzalendo na mweusi mwenzetu jamani
Kila saa Haye anaanguka! Hii ndio mbinu anayoitumia au kazidiwa?
Hahahahahahahmasumbwi hayo, miguu imegeuka mlenda...