Hayo ndio matoke ya simba bila chama

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Simba bila chama matokeo yake ndio haya, Tunaomba watuambie Chama kafanya Makosa Gani ya Kinidhamu..??

Mnatukosea sana mashabiki

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Simba bila chama matokeo yake ndio haya, Tunaomba watuambie Chama kafanya Makosa Gani ya Kinidhamu..??

Mnatukosea sana mashabikiView attachment 2851002

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Chama kesha saini yanga, atawasumbua sana . Benchi-kha kasema kama mnampenda sana chama mchukueni mkakae nae ofisini numpe ghahawa na kwa kipindi yupo Simba SC hatakanyaga uwanjani!
 
Mashabiki wa simba mna matatizo nafikiri
Tena makubwa Sana.Pengine ni watu wengi hawajui Mpira.

Sasa Unafikiri Chama angekuwepo pale angesaidia ninii?

Mbona alikuwepo wakati tunapigwa goli Tano alikua anazirura tu.

Watu hawataki kukubali Chama kaisha.Badala shinikizo liwe kwa Viongozi wasajili wao ni Chama Chama as if atacheza maisha Simba ukiachilia mbali kiwango chake kibovu kwa Sasa.
 
Wakishinda mechi ijayo wanasahau yote ya sasa ni kama wana mihemko flani
 
Kama vipi nendeni mukamuombe msamaha mumrudishe kambini kuokoa meli isizame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…