hii brand naifahamu almost 15yrs sasa nakumbuka wakati napiga boli miaka ya tisini nilikuwa na uzi mmoja matata sana ukiwa na chapa hiyo ya mikasa. sidhani km ni kiswahili.