Hayupo tajiri aliyetajirika kwa halali, hayupo

Si kweli, unatafsiri tofauti kidogo, umafia na misimamo mikali tofautisha, kuna matajiri kutokana na misimamo yao mikali mnasema ni mafia....

Mafanikio yana hitaji roho ngumu, misimamo mikali na ujasiri.

Mfano kusaidia mwingine huku unaumia na kushindwa kusema hapana ..

Na pia sikupingi kuna matajiri utajiri wao ni haramu...
 
Hizo ni imani zako tu.
Wenzako huko ulaya na marekani waliumiza vichwa wakavumbua technology ambazo mpaka leo zinawaingizia mamilioni ya pesa.
 
Jamaa amegeneralize Sana, mtu Kama cristiano ronaldo, Leo messi ni Matajiri wakubwa sana hapa duniani.
Anaweza kusema nao wamezulumu?.au wamemnyonya Nani?
kuna watu kibao hapa duniani ni Matajiri kutokana na karama zake mola amewapa vipaji nao wamegundua vipaji vyao wakavitumia kupatia utajiri.
Ukweli sio matajiri wote ni zulumati au wanyonyaji
 
Kuna watu wenye pesa na matajiri umesikia bwana n'dogo?
 
Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka!

Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani.

NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa mwingine.

Takbir!
Pesa hazitafutwi wewe, pesa zinategwa na ukifanikiwa kuzitega vizur ndan ya miaka 3 we ni tajiri wa kutisha. We endelea kukariri maisha
 
Kwakua unataka kujifariji kutokana na kufeli kwako kimaisha acha tukubaliane na wewe
 
Kuna watu wenye pesa na matajiri umesikia bwana n'dogo?
Sasa unataka kumaanisha nini? Umemwelewa lakini hoja Ya mwanzisha thread? Hao niliowataja wana pesa na pia ni matajiri ila pesa zoo na utajiri walionao sio wa dhuluma ,unyonyaji au kimafia Kama mwanzisha thread anavyotaka kuhamasisha.
Kuna ma technology guru pale silcon valley California Mfano mhindi mmoja satya narayana huyu ni ceo wa microsoft
Jamaa anapesa .
Huwezi kusema mtu kama huyo ni zulmati
Mwanzisha thread ni vyema angefafanua aina Ya hao matajiri kulipo kueleza Kwa ujumla kwamba matajiri wote duniani wanazulumu ndio maana wamekuwa matajiri.
Hiyo kwa kweli sio sahihi ni kutowatendea haki hao matajiri
 
Hizo ni imani zako tu.
Wenzako huko ulaya na marekani waliumiza vichwa wakavumbua technology ambazo mpaka leo zinawaingizia mamilioni ya pesa.
Elewa neno "wengi wao."

Hivi Kiswahili ni kigumu sana?!
 
Sasa unataka kumaanisha nini? Umemwelewa lakini hoja Ya mwanzisha thread? Hao niliowataja wana pesa na pia ni matajiri ila pesa zoo na utajiri walionao sio wa dhuluma ,unyonyaji au kimafia Kama mwanzisha thread anavyotaka kuhamasisha.
Kuna ma technology guru pale silcon valley California Mfano mhindi mmoja satya narayana huyu ni ceo wa microsoft
Jamaa anapesa .
Huwezi kusema mtu kama huyo ni zulmati
Mwanzisha thread ni vyema angefafanua aina Ya hao matajiri kulipo kueleza Kwa ujumla kwamba matajiri wote duniani wanazulumu ndio maana wamekuwa matajiri.
Hiyo kwa kweli sio sahihi ni kutowatendea haki hao matajiri
Hapo ulipo ukiokota bilioni kumi we utakuwa tajiri au ushinde jackpot ya kamari utakuwa tajiri au mtu mwenye pesa kuna tofauti kati ya tajiri na mwenye pesa ila Akili yako hapo ndo mwisho wake inahitaji kufunguliwa zaidi ili uwaze kama wale waliokudhidi uwezo wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom