Ndani ya Siku 7 mtu anatengeneza Million 920.
Mwingine unaweza kuhisi ni ndoto lakini huo ndiyo ukweli kwamba sasa mkiambiwa mpira wa leo n pesa usibishe; ni bora ukalime matango kule Mzenga utaonekana wa maana.
Yawezekana mshahara huu ukawa ni bajeti ya Club ya mwaka mzima still unataka eti club hiyo ikupe ubigwa Tanzania na pia ikushindie Club bingwa Africa hiyo ni ndoto tena ya mchana.
Ni mambo ya kizamani mno ya kusema mpira ni kujitoa - haya yamepitwa na wakati, na nyie Simba na Yanga mambo ya kuokota wachezaji wa mafungu wasio na Club huko nje ya nchi na kuwaita Ma-Pro hii inazidi kuua soka letu..
Hapa point ni kwamba mpira wa sasa bila pesa usitegemee matokeo uwanjani - wale watoto under 17 wameokotwa okotwa wakausanywa kwa bei sifuri eti mnategemea wa qualify machindano ya dunia - hiyo ni ndoto tena na mchana.
Harafu uliona wapi mtoto wa miaka chini ya 17 akamwahidi Sh Mil 20 kama si kumchanganya medulla yake; Hebu jirudishe wewe ulivyokuwa na miaka 17 kisha mzazi wako akuahidi mil 20 hivi shule utakwenda kweli?
Tatizo letu maneno mingiii, eti unawapa watoto mil 20 wakishinda mechimechi hii haiwezi kufanya kazi hata kidogo- ni sawa na kumpa ngombe manyasi kibao siku ya mnada ukitegemea ataongea kilo.
Bila kuwekeza basi mpira tutausikia kwa mbali sana - mafanikio ya Simba ni ya kubahatisha - ubora Simba hauko number 8 africa Never. Tuwekeze kwenye Mpira kama wenzetu tuanche maneno mengii mpira tutausikia kwenye nchi za wenzetu.
Kwa mfano Club inatembeza bakuli wee mwishoni inashinda ligi yetu na inapata nafasi kutuwakilisha huko nje - hivi club kama hii inaweza kufanya nini cha maana ikikutana na hao wababe kama si kutuletea aibu? hetu tuache kufanya utani kwenye soka letu.