Hazard cfc mwenzako nakuelewa

Gyuleeee wallaaaah sina neno

Ujue nilishaga kuelewa kitambo sema mastory ya bonge yakanikata maini. Nna wivu balaa. Niliposema nijizoezoe nijikaze nilete salam ndio mzee mwenzangu akapandisha uzi. Dah! Sasa kwenye mambo yetu mkubwa akishajiweka inabidi kumeza jiwe kama mpambe wa kiranja wa malaika.
 
Kuna binti namzimia sana humu, lakini huwa hataki kabisa kunielewa mkuu.....
Labda nikutajie ili unisaidie kumzoza....[emoji39] [emoji39]
Emu nitajie nimjue wifi uyo
 
Fungua code maana naelewa nusu nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…