Hazard cfc mwenzako nakuelewa

Poleee sana nimepata uchunguu wa moyoooo

Tatizo ni kwamba, kwa sasa hatuwezi kuelewana na hauwezi kunisaidia. Gyole nae bado ana mambo ya kinanso kama mjelemani wa nkonkilangi kule karibu na mingela mbele ya shelui kupitia mgongo.

Inamaana hamtaki kabisa kudumisha himaya ya Singida?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseeee hatutaki kabisa kwa sababu tutarudi kula mlendaa na nsansa
 
Bakieni huko huko na hao watu wenu wa chips mayai. Sie tunagonga mapama, matogo, furu, mapera, mbilu matunda yote yanaivia kwenye mti sio huko mnavundika...

Alizeti OLIJINO kabisa, kwa ujumla maisha sio mabaya sana. Tutapata wa kuelewana nao hukuhuku wa kaliba yetu.
 
Mwamba mbona unataka kumpeleka kibabe kibabe mamsap? Hizi kauli za kijeshi ziepuke mkuu. Ameshakuelewa, na wewe muelewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo ni kwamba, kwa sasa hatuwezi kuelewana na hauwezi kunisaidia. Gyole nae bado ana mambo ya kinanso kama mjelemani wa nkonkilangi kule karibu na mingela mbele ya shelui kupitia mgongo.

Inamaana hamtaki kabisa kudumisha himaya ya Singida?
Kama uko tayari nikutafutie mtoto wa kikurya akufute machozi
 
Furu.Mate yamejaa ngoja niende porini ntarudi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]loooh naona umeamua kutupaaa madongee pambana tu mkuu hakuna namna
 
Kama uko tayari nikutafutie mtoto wa kikurya akufute machozi
Amfute machozi au ampe machozi!!.. Inabidi aende kozi ya utayari miezi mitatu kwa rashidi matumla, aongeze juhudi za kuangalia movie za jack chan, statham, boyka n.k ndani kwake asikose cd za kina tyson, muhammad ali nakadharika.

[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…