Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
- Thread starter
-
- #521
Haha hakika utakuwa unafanana naeTeh teh teh!! Ndio maana kuna mtu akaniita Makaveli Jr jina ambalo limekuwa kiasi ukinitafuta kwa jina langu halisi mtaani ni ngumu kwa wageni kunifahamu.
Eti wanaogopa kupiganaMbona maraia hawawataki?[emoji23]
NakaziaDuh!! Pole mkuu, ila ni ya kawaida tu, samaki mmoja akioza tupa tia ndimu waliobaki kaanga songea ugali uwatafune.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaa bado kabichi ka jj changu...nakakula kwa ndimu mkuu
Jaribu kusafisha nyotaNimetoka nae mbali sana. Naona damu zimekataana tu. Sijajua kabisa kosa langu kwanini hanipendi
Kwa kiasi fulani na nampenda pia.Haha hakika utakuwa unafanana nae
Ila we kwa kukazia ww, huwa nakuona tu na msemo wako huo wa kukazia, angalia usije ukakazia mpaka swaumu tu mwezi wa ramadhani.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakazia
AiseeUnaposema yeye ni zaidi ya mwanaume, unakuwa unamaanisha yeye ni mwanaume na mwanamke hapo hapo?
Namkubali sanaKwa kiasi fulani na nampenda pia.
Hahaa napenda kukazia na kuunga mkono hojaIla we kwa kukazia ww, huwa nakuona tu na msemo wako huo wa kukazia, angalia usije ukakazia mpaka swaumu tu mwezi wa ramadhani.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijamaanisha hivyo,ni wewe ndo umemaanisha hivyo mkuuUnaposema yeye ni zaidi ya mwanaume, unakuwa unamaanisha yeye ni mwanaume na mwanamke hapo hapo?
Aisee...kila la kheri kwenu.Hope you'll walk together forever.Ujumbe kwako kipenzi cha roho yangu hazard,mwanaume nikupendae kwa dhati.Mwanaume ambaye sijawahi kuacha kukuwaza.Wewe ni zaidi ya mwanaume,hakuna mwanaume yeyote duniani anaweza kunielewa zaidi kama unavonielewa wewe.Ni moyo wangu pekee ndio una uwezo wa kukwambia ni jinsi gani nakupenda,maneno yangu pekee hayatoshi kuelezea ni kwa jinsi gani nakupenda.Natamani niwe nimekutana na wewe tangu zamani.
Nakuelewa sana Hazard wangu,na haka kawimbo kawe special kwako,kila unapokasikia ujue kanauwakilisha moyo wangu kwako
I love you so much my baby
Ha ha haNilikua natafuta ID yako ya zamani mwisho nimeipata. Pole
Thank u so much,and May God be with usAisee...kila la kheri kwenu.Hope you'll walk together forever.
Nyumbani Kumenoga...!wacha weeee.
huku nako kumenukaaa
Uwazi unapendeza.Mimi mke wa Mshana pitaaa mbali utarogwaaaa
FireMaambo ni moto