Mshambuliaji machachari wa real Madrid ambaye pia aliwakuichezea Chelsea ametoa utabiri wake kuhusu game kubwa itakayofanyika jumamosi itakao wakutanisha man city ambaye anashika nafasi ya 4 vs Chelsea anayeshika nafasi ya 3 ya league.
Hazard ameiambia sky sports yeye anaona Chelsea ataibuka na ushindi na ametoa sababu wakati nikiichezea Chelsea mwaka Jana nilikuwa Sana tegemezi ila Chelsea ya sasa " no hazard there is a party" wanacheza as a team work, wanafunga magoal mengi as fun na pia wanakocha mzuri Sana.