Hazard ndani ya Real tutegemee nini kutoka kwake

Hazard ndani ya Real tutegemee nini kutoka kwake

Madbackisson

Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
10
Reaction score
6
Mshambuliaji machachali aliyekuwa anawasha moto kit team ya Chelsea na ubelgiji aliye sajiriwa na Real Madrid je ataweza kuziba pengo la Ronaldo lililoshindwa kuziba na Gareth Bale na Kareem Benzema
 
Uyu bna tulimzoesha vibaya kwaiyo asilete mambo y chelsea atapotea akina lamos n machiz
 
Ronaldo anacheza kama false 9 wakati Hazard ni play maker. Hawafanani, na hakuna anaeweza kuziba pengo la mwenzie!

Madrid wakipata midfielders wawili wa kueleweka, basi kazi ya Hazard itakua rahisi na huenda akina Luca Jovic wakaneemeka na mvua ya magoli.

Dunia hii, hakuna wa kuziba pengo la Ronaldo au Messi. Labda kizazi kijacho!
 
Back
Top Bottom