Ronaldo anacheza kama false 9 wakati Hazard ni play maker. Hawafanani, na hakuna anaeweza kuziba pengo la mwenzie!
Madrid wakipata midfielders wawili wa kueleweka, basi kazi ya Hazard itakua rahisi na huenda akina Luca Jovic wakaneemeka na mvua ya magoli.
Dunia hii, hakuna wa kuziba pengo la Ronaldo au Messi. Labda kizazi kijacho!