Hazina mnatuchanganya sasa

Hazina mnatuchanganya sasa

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Leo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January.
Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka.
Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali?
"Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
 
Kiki ki kitonga kiiiiiiii kitonga[emoji23][emoji23][emoji23]mnapenda vitonga,mlipo kopa hakujua
 
mkuu pole sana ila kuna wanaosema maisha ya ajira za Gov ni matamu sana kuliko waliojiajiri.!
 
Leo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January.
Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka.
Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali?
"Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
Ukope wewe alafu serikali ikulipie.?.... anyway... kuna mdau aliweka uzi humu kuipongeza serikali kwa kuwakumbuka watumishi wake hasa kuwalipia madeni ina maana hakuwa sahihi?
 
Tatizo liko wapi serikali kulipa madeni ya watumishi wake........unajua maana ya motisha.
Motisha ndio ulipiwe deni?....vipi wasio na madeni, motisha zao zinakuwaje?...maana madeni yametofautiana vipi wanaopewa kipaumbele cha kulipiwa ni madeni ya kiwango gani?
 
Watakuwa wamefanya uchambuzi wa yote hayo, motisha zinaweza kutofautiana........wengine wanaweza kukopeshwa vifaa vya ujenzi, magari, samani za ndani...........private sector motisha kwa mfanyakazi ni jambo la kawaida kabisa watu wanakula bonus za kufa mtu, wewe unashangaa kulipiwa deni la mkopo laki mbili.
 
Leo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January.
Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka.
Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali?
"Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
Deni limerudi la mwezi wa 12 inashangaza sana
 
Ukope wewe alafu serikali ikulipie.?.... anyway... kuna mdau aliweka uzi humu kuipongeza serikali kwa kuwakumbuka watumishi wake hasa kuwalipia madeni ina maana hakuwa sahihi?
Uyo mdau hanaga akili vizuri
 
Leo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January.
Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka.
Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali?
"Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
Mkuu Kwambackatiba mpya ndo itakuwa inakulipia mikopo ? Work hard!!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ukope wewe alafu serikali ikulipie.?.... anyway... kuna mdau aliweka uzi humu kuipongeza serikali kwa kuwakumbuka watumishi wake hasa kuwalipia madeni ina maana hakuwa sahihi?
Hilo ndo losa lao, wangenyamaza Sasa kukimbilia mitandaoni oooh timelipiwaaaaaa, Sasa lipeni wenyewe.
 
Back
Top Bottom