Ukope wewe alafu serikali ikulipie.?.... anyway... kuna mdau aliweka uzi humu kuipongeza serikali kwa kuwakumbuka watumishi wake hasa kuwalipia madeni ina maana hakuwa sahihi?Leo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January.
Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka.
Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali?
"Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
Tatizo liko wapi serikali kulipa madeni ya watumishi wake........unajua maana ya motisha.Ukope wewe alafu serikali ikulipie.?....kama ndio hivyo hongereni sana watumishi.
Motisha ndio ulipiwe deni?....vipi wasio na madeni, motisha zao zinakuwaje?...maana madeni yametofautiana vipi wanaopewa kipaumbele cha kulipiwa ni madeni ya kiwango gani?Tatizo liko wapi serikali kulipa madeni ya watumishi wake........unajua maana ya motisha.
Watakuwa wamefanya uchambuzi wa yote hayo, motisha zinaweza kutofautiana........wengine wanaweza kukopeshwa vifaa vya ujenzi, magari, samani za ndani...........private sector motisha kwa mfanyakazi ni jambo la kawaida kabisa watu wanakula bonus za kufa mtu, wewe unashangaa kulipiwa deni la mkopo laki mbili.Motisha ndio ulipiwe deni?....vipi wasio na madeni, motisha zao zinakuwaje?...maana madeni yametofautiana vipi wanaopewa kipaumbele cha kulipiwa ni madeni ya kiwango gani?
Deni limerudi la mwezi wa 12 inashangaza sanaLeo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January.
Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka.
Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali?
"Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
Uyo mdau hanaga akili vizuriUkope wewe alafu serikali ikulipie.?.... anyway... kuna mdau aliweka uzi humu kuipongeza serikali kwa kuwakumbuka watumishi wake hasa kuwalipia madeni ina maana hakuwa sahihi?
Kuna mtu alimpongeza sana.... Kuwa anajali ,!!!!!Uyo mdau hanaga akili vizuri
Uyo mdau ni chawa kama ManaraKuna mtu alimpongeza sana.... Kuwa anajali ,!!!!!
Mkuu Kwambackatiba mpya ndo itakuwa inakulipia mikopo ? Work hard!!Leo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January.
Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka.
Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali?
"Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
Hakuna kitu mkuu deni limerudi kama awaliKuna mtu alimpongeza sana.... Kuwa anajali ,!!!!!
Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali?
Hilo ndo losa lao, wangenyamaza Sasa kukimbilia mitandaoni oooh timelipiwaaaaaa, Sasa lipeni wenyewe.Ukope wewe alafu serikali ikulipie.?.... anyway... kuna mdau aliweka uzi humu kuipongeza serikali kwa kuwakumbuka watumishi wake hasa kuwalipia madeni ina maana hakuwa sahihi?