J JASPA J PELEUS New Member Joined Dec 30, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Dec 30, 2024 #1 Naomba kusaidiwa jinsi ya kuingia hazina portal nmejiresta ila baada ya hapo kila nkitaka kuingia inagoma inanambia access denied na wananambia invalid login nkijarbu nkuforgot password ili nianze upya wanantumia naanza lkn bado inagoma
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuingia hazina portal nmejiresta ila baada ya hapo kila nkitaka kuingia inagoma inanambia access denied na wananambia invalid login nkijarbu nkuforgot password ili nianze upya wanantumia naanza lkn bado inagoma