Hazina SACCOS

Hazina SACCOS

Mugondo

Senior Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
168
Reaction score
180
Habari wana jamvi.

Nilikuwa kwenye pita pita yangu mtandaoni kuhusiana na mikopo, nikakutana na Hazina Saccos Tanzania.

Miongoni mwa vitu vilivyonivutia ni pamoja na riba ndogo walizoziweka. Lakini nikajiuliza maswali yafuatayo:

1. Je huwa wanatoa mikopo kwa wakati? Yaani inachukuwa muda gani tangu kuomba mkopo mpaka kupewa? (Kwenye uhalisia)

2. Je unaweza kujitoa ikiwa bado unaendelea na utumishi wa umma ukataka kuacha uanachama? Kwa mfano kama ume-lose interest ya kuwa mwanachama na hauna deni?

Ninaomba kupata uzoefu wenu kuhusu hii Hazina Saccos Tanzania
IMG_20191018_044311.jpeg
IMG_20191018_044229.jpeg
IMG_20191018_044159.jpeg
IMG_20191018_044138.jpeg
IMG_20191018_044115.jpeg
IMG_20191018_044045.jpeg
 
2 % per month maana yake ni 24% per year. Unafuu uko wapi hapo.
Mkopo wa elimu 1% ni 12% per year wakati board inatoza 6%.
Akili ku mkichwa
 
Back
Top Bottom