Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Maskini hujui usemalo wala hujui ulijualo maskini. Huwezi kupayuka nasi tukameza utopolo.Hawa ndiyo 'wasomi' wa sasa wa Tanzania tunaowategemea.Ukija kuchunguza elimu zao utabaki umeduwaa,twende nao tu hivyo hivyo Mkuu.
Guesswork haina maana ya kwamba ni primitive, dunia yetu ya sasa pia inaendeshwa na guess work, ndiyo maana kuna mambo ya analyticsHistory, demography and social anthropology ya jamii havijawahi kuwa matusi.
Huijui nchi yako. 1920s Tanganyika ni vijiji vya kijima na kipori vilivyogubikwa giza, ujinga na umaskini.
Musuguri na Nyerere na kizazi chao hawakujua wamezaliwa lini. Wala wako wapi kwenye ramani ya dunia.
Tarehe za matukio ya watu wa jamii hizi kama kuzaliwa na kufa by and large is unverified guesswork.
OK fine tukubaliane na wewe but unataka kuniambia huwezi kukadiria umri wa MTU below 18yrs?Baba Paroko hawezi kujua umezaliwa lini. Analishwa taarifa zako na waliokuleta kanisani miaka kadhaa baada ya kuzaliwa, baadae anazitema kama zilivyo. Garbage in garbage out.
Nyerere alizaliwa nyumbani na wazazi illiterate kwenye kijiji primitive. Butiama hakukuwa na hospitali ya mission wala kanisa wala shule mwaka wa 1920. Rekodi rasmi hazikuwepo.
Guesswork haina maana ya kwamba ni primitive, dunia yetu ya sasa pia inaendeshwa na guess work, ndiyo maana kuna mambo ya analytics