Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Tokea nimalize kuangalia GOT bado hakuna series iliyo attract my attention Sana mpaka nilipokutana na hii Series.
Kisa Ni Black man jamaa anaitwa Atticus alitoka jeshini south Korea, enzi hizo za ubaguzi wa rangi uliokithiri, kwa ajili kwa kuja kumtafuta baba yake aliekuwa kapotea, Sasa kafika America basi tu alilopanda wazungu wanakaa mbele, black mnakaa nyuma mpaka Ni katikati ya basi, Sasa ndani ya Safari basi likapata hitilafu likatumwa gari lingine Kuja kubeba abiria, Sasa kilichotokea whites na mizigo Yao wakabebwa, blacks wakaachwa watajua wenyewe.
Jamaa alivyofika home akapiga Simu Korea ikasikika sauti ya Kike inamwambia (You shouldn't have left) yaani asingeondoka South Korea. Sasa jamaa alivyokata Simu kwa woga daah. (Hapo Kuna story nyuma yake Kali Sana kuhusu huyo Dada aliyepo South Korea muda huo)
Sasa Katika harakati za kumtafuta baba yake zilipoanza ndipo inakuja julikana jamaa familia yake ina history of Magic na hiyo yote yaweza kuwa chanzo Cha baba yake kutoweka. Sasa mishe zinazoanzia hapo Ni balaa maana movie imeigizwa maisha fulani hivi ya middle 20th century ambapo racism imepamba Moto huko US pia mixer Magic, story Kali, Horror, monsters, demons aisee Kila episode Ni Moto halafu Ni zaidi ya dakika 50 sio Mchezo.
Jinsi waandaaji walivyoiandaa wamezungumzia vitu real vilivyotokea enzi hizo yaani Racism kwa uzuri Kabisa, ( Yaani hapa unaona ile real meaning ya Racism, Kama Mambo ndio yalikuwa hivi basi ilikuwa ni balaa ( it was no fun living in those days Aisee). Mfano scene moja ambayo Atticus, Uncle Ben na Leti waliingia hotel kutaka kula daah walifulumushwa Kama wezi huku Gari nyuma inawakimbiza wakimiminiwa risasi. (Sababu tu ni black people)
Scenes za polisi wa kizungu kutojali blacks Kabisa zipo nyingi, blacks wanafanyiwa vitu vya kikatili but they don't care at all.
Magic
Hapa ndipo waliponivutia kunogesha storyline
Kuna monsters wanaitwa Shoggoth hawa ni balaaaa wanatokea chini ya ardhi wana miili mikubwa mfano wa Simba ila aingie mara hata 3, meno makubwa Kama mamba na kichwani macho mengi balaa zaidi hata ya 50, speed Kama vempire wenyewe Ni kuua tu hasa wanawahi vichwa Ni hatari Sana hawa viumbe.
Horror
Kama wewe ni muoga usiangalie hii series usiku, nilipoanza kuiangalia nilijua kila epsode ina story inajitegemea kumbe ni Namna tu walivyoweka mtiririko maridhawa Kabisa wanachambua character Mmoja Mmoja na story unaielewa sawia Kabisa.
Scenes za kutisha zipo kibao aisee na za kusisimua sio Mchezo mfano Mauaji aliyokuwa akiyafanya Ji - ah daaah nikawawazia jamaa zangu wa kula tunda kimasikhara.
Pia Kuna ile scene ya vile vitoto videmons (Bopsy na Topsy) vinavyocheza kumfuata Diana baada ya kuwa Cursed na Yule Askari wa kizungu. Yaani vina makucha marefu balaaaa halafu yeye peke yake ndio anaviona akitaka omba msaada hawezi toa sauti ( Sasa jinsi vinavyocheza na ile midomo sijui imechanwa daaah so creepy Aisee).
Humu kila character ana good side na Dark side sio ile eti character yeye Ni mzuri mwanzo mwisho yeye always ana make right decision, hayo Mambo kwenye hii Series hakuna.
Overall Ni series makini japo Kama kawaida ina Vitu vya ovyo ovyo Kama Gay na Lesbian Scenes na Adult contents hivyo uamuzi Ni wako kuangalia au kutoangalia.