He drank until he forgot that he is “disabled”!!!!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83

He drank until he forgot that he is
"disabled"!!!!

wat happened thereafter????
 
kwani pombe zikiisha si unakuwa 'nomo'
 
Yesu angekuwepo hapo angetaka kuchukua ujiko.
 
Huku tunaita ni kukariri!

Aliyekariri nani kati yangu mie na wewe unayeparrot kama kasuku bila kutoa source na elaboration?

Hujawahi kusoma biblia na kuona Yesu anavyotaka sifa?

Kama ni kukariri basi nimekariri biblia inavyosema, with a reasoned critique that you can't dream of fathoming, let alone fathom.
 
Huwezi kuibuka kutokea ulikokuwa "eti namjua anavyopenda sifa" you can do better than that mazee!!!....nani kakwambia ninasoma biblia kwa nini usiseme quruan ....! ama novel nyingine yeyote?

Kukariri huku bila kuelewa!
 
Kama hujasoma biblia ndio source yangu mimi kusema namjua anavyopenda sifa, nenda kasome halafu ndio uje hapa kubisha.Kama hujasoma source hujafanya research, kama hujafanya research huna haki ya ku comment.

Kwishne.
 
Yesu angekuwepo hapo angetaka kuchukua ujiko.

Jesus hapa alitokea wapi mkuu....mtumaji wa thread amesema "He drank until he forgot that he is “disabled”!!!! wakati mwingine nadhani unakuwa nje kabisa ya maada kuonyesha imani yako iko wapi! LOL
 
Kama hujasoma biblia ndio source yangu mimi kusema namjua anavyopenda sifa, nenda kasome halafu ndio uje hapa kubisha.Kama hujasoma source hujafanya research, kama hujafanya research huna haki ya ku comment.

Kwishne.

Hahahaha nimekuweza leo! have a good time bro/sister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…