He he he

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
kumbe kiswahili bado ni ishu kwa waswahili wenyewe nacheka coz ya yule raisi wetu mmoja nasikia ni mtu wa kusini..... aliemaliza awamu yke kabla ya huyu ......eti kaenda kumtembelea baba wa taifa anarudi pale uwanja wa ndege anahojiwa anasema HALI NILIYOKANKUTA NAYO BABA WA TAIFA......HIVI HICHI NI KISWAHILI KWELI?au mi ndo sielewi....
 
wewe mwenyewe kiswahili ulichoandika bado ni kituko kitupu rekebisha wewe kwanza hiyo mada ndo umtuhumu mwingine,acha uswahili
 
vkeisy2006
Junior Member
Join Date: Fri Mar 2010
Posts: 4
Thanks: 2
Thanked 0 Times in 0
 

Hivi kati yako na yeye ni nani asiyefahamu Kiswahili? Yaani nyani analicheka kundule? Yaani vihiyo Bwana, kazi kweli kweli!!! Hebu tazama ulivyoandika

Rais= raisi, Hiki= hichi, ninacheka= nacheka, kwenda=kaenda..... yaani nikichambua nitakumaliza kabisa. Bottom line,hufahamu Kiswahili, sijui Kiingereza na Kifaranza au navyo ni nyota au maruweruwe.
 
Duh kumbe ila nahisi we ni mtu wa kusini.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…