kwani tatizo liko wapi hapo.......?
Tatizo lenu vijana wasiku hizi mnakimbiliana kufanya ngono watu ambao hata hamjui wana nia gani na nyie, kama mngekuwa kama wakati wetu ambapo hakuna kugusana mpaka baada ya ndoa kusingekuwa na tatizo, maana mtu hata asipokuoa si bado uko pure una wasiwasi gani, na isitoshe Mungu anakuwa upande wako maana hungemkosea na wakati unapofika anakupatia wa kwako. SASA HUYO DADA KAMA ANAWEZA KUJITUNZA ASIWE NA WASIWASI NA HUYO AGEMATE WAKE, AHAKIKISHE ANAMPA TUNDA SIKU YA NDOA NA SIO VINGINEVYO..hofu ya kuchelewa kuolewa n maybe anaeza akasubir then mwanaume akagair while ye atakua keshaenda age sana,itamcost...
..hofu ya kuchelewa kuolewa n maybe anaeza akasubir then mwanaume akagair while ye atakua keshaenda age sana,itamcost...
..hofu ya kuchelewa kuolewa n maybe anaeza akasubir then mwanaume akagair while ye atakua keshaenda age sana,itamcost...
..hofu ya kuchelewa kuolewa n
maybe anaeza akasubir then mwanaume akagair while ye atakua keshaenda
age sana,itamcost...