He is 24 n she z 24...kutakua na ndoa kweli hapo!?

baadhi ya mabinti huwa desperate sana wanapoona biological clock inazidi ku-tick bila mambo kueleweka but 24 years of age mbona umri bado kabisa... kama vipi, ampumzishe dogo pembeni atafute voda fasta wa kuondolea nuksi kwanza....
 
ndo maana nakupenda
 

Huo wakati wenu ni upi?
 
Hakuna tatizo...kama kutakuwa na ndoa hayo ni maamuzi yenu hasa katika idara ya uvumilivu kuanzia sasa mpaka hapo mtakapoamua kuzifunga pingu za maisha.

 
Last edited by a moderator:
I don't mean to offend any one but, nikisoma hii komment naona mhusika ana umri mkubwa na hajaolewa bado, anajifariji kuwa kuna maisha bila ndoa, something which is not true katika akili za mwanamke yoyote yule including herself..every womans dream is to be married
 
Huyo mwanamke keshapata mtu anampromise kumuoa, hana lolote, kama vipi amuache kijana wa watu atafute kazi atengeneze pesa kwanza asimzeeshe. Yeye kama anaona anachelewa atafute gubeli la miaka 35 limuoe. After all umri wa huyo kijana kwa kuoa ni bado sana, kama ataweza kuvumilia at leas miaka tano hadi sita ijayo akatuliza mbuchuchu yake ataolewa naye kama wanapendana. You have to be optimistic in love!
 



ungalitambua usingalinena.😛ainkiller:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…