He is a Captain of Messi, Ramos, Neymar, Mbappe who is he?

He is a Captain of Messi, Ramos, Neymar, Mbappe who is he?

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Just a Reminder, Marquinhos will Remain PSG's Captain for 2021-22 Season. ©️😎

He will be The Captain of:
— Lionel Messi 🐐(Former Barça Captain & Current Argentina Captain)
— Sergio Ramos 🐐(Former Real Madrid Captain & Current Spain Captain)
— Neymar Jr
— Kylian Mbappe
— Angel Di Maria
— Wijnaldum (Netherlands Vice Captain)

All The Trophies This PSG Team would be winning, Marquinhos would be the one lifting it first. 😎🏆
 
Za chini chini Tayari kuna mtifuano huko ramos anataka ufalme😂
Aagh!!! 😬 mji una wenyewe Paris ni ya Marquinhos, Madrid ilikua yake ila kwa kisirani hashindwi yule kukitaka kitambaa na kwa ustaarabu wa Marquinhos kumuachia itakua jambo rahisi
 
Hii timu naifananisha na ile timu ya Brazil iliyoshiriki kombe la dunia 1998 na 2006 😀😀.
 
Walijua hawawezi kushinda in the ground ndo maana wakajipanga nje ya Uwanja niwape heko kwa hilo Lakini hawakua Fair and Square ila kwa nini nao Brazil hawakujipanga nje ya Uwanja hawajui kama mpira una fitna?
Ni ngumu sana kujilinda zidi ya hujuma ukiwa ugenini tena kwa nchi kama Ufaransa,maana hapa walitumia mpaka mashirika yao ya Ujasusi.
 
Ni ngumu sana kujilinda zidi ya hujuma ukiwa ugenini tena kwa nchi kama Ufaransa,maana hapa walitumia mpaka mashirika yao ya Ujasusi.
Hakika ilikua ngumu kuwazuia kumbe walienda mbali hivo hakika walitaka kuhakikisha kombe linabaki ardhi ya nyumbani ahsante mkuu kwa taarifa
 
Hakika ilikua ngumu kuwazuia kumbe walienda mbali hivo hakika walitaka kuhakikisha kombe linabaki ardhi ya nyumbani ahsante mkuu kwa taarifa
Na walifanya vyema hesabu zao,maana hii hujuma wangefanya masaa 36 kabla ya match Brazil angejipanga kisaikolojia na Uwanjani,ila waliifanya siku ya match tena masaa mawili kabla ya match tena wakatageti key player.
 
Back
Top Bottom