Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Aagh!!! π¬ mji una wenyewe Paris ni ya Marquinhos, Madrid ilikua yake ila kwa kisirani hashindwi yule kukitaka kitambaa na kwa ustaarabu wa Marquinhos kumuachia itakua jambo rahisiZa chini chini Tayari kuna mtifuano huko ramos anataka ufalmeπ
Mbona umeruka ya 2002? Je unadhani bila fitna za nje ya Uwanja za Ufaransa 1998,Ufaransa angemfunga Brazil?Hii timu naifananisha na ile timu ya Brazil iliyoshiriki kombe la dunia 1998 na 2006 [emoji3][emoji3].
Fitna zipi hizo mkuu?Mbona umeruka ya 2002? Je unadhani bila fitna za nje ya Uwanja za Ufaransa 1998,Ufaransa angemfunga Brazil?
Ronaldo de Lima alifanyiwa vitu vibaya akapata kifafa wakiwa Hotelini siku ya match.Fitna zipi hizo mkuu?
Walijua hawawezi kushinda in the ground ndo maana wakajipanga nje ya Uwanja niwape heko kwa hilo Lakini hawakua Fair and Square ila kwa nini nao Brazil hawakujipanga nje ya Uwanja hawajui kama mpira una fitna?Ronaldo de Lima alifanyiwa vitu vibaya akapata kifafa wakiwa Hotelini siku ya match.
Ni ngumu sana kujilinda zidi ya hujuma ukiwa ugenini tena kwa nchi kama Ufaransa,maana hapa walitumia mpaka mashirika yao ya Ujasusi.Walijua hawawezi kushinda in the ground ndo maana wakajipanga nje ya Uwanja niwape heko kwa hilo Lakini hawakua Fair and Square ila kwa nini nao Brazil hawakujipanga nje ya Uwanja hawajui kama mpira una fitna?
Hakika ilikua ngumu kuwazuia kumbe walienda mbali hivo hakika walitaka kuhakikisha kombe linabaki ardhi ya nyumbani ahsante mkuu kwa taarifaNi ngumu sana kujilinda zidi ya hujuma ukiwa ugenini tena kwa nchi kama Ufaransa,maana hapa walitumia mpaka mashirika yao ya Ujasusi.
Duh Mkuu mbona unajitoa ufahamu?Huyo marquinhos mwenyewe kwani ni kikosi cha kwanza?
Na walifanya vyema hesabu zao,maana hii hujuma wangefanya masaa 36 kabla ya match Brazil angejipanga kisaikolojia na Uwanjani,ila waliifanya siku ya match tena masaa mawili kabla ya match tena wakatageti key player.Hakika ilikua ngumu kuwazuia kumbe walienda mbali hivo hakika walitaka kuhakikisha kombe linabaki ardhi ya nyumbani ahsante mkuu kwa taarifa
Marquinhos ni psg na psg ni Marquinhos, majina yote hayo yaliyotajwa hayana mchango kama wake PSG.Huyo marquinhos mwenyewe kwani ni kikosi cha kwanza?