Kuna mtu ameshajaribu ku-Google hiyo heading kama ilivyo hapo juu, ni nani huyo? Ingawa kwa kweli ni utovu lakini ndio uhuru wa vyombo vya habari huo! Au mnasemaje wana-JF?
This is essentially a set of Russian nesting dolls.
Kwa hiyo kuna ukweli "mdogo" ndani yake?
kwani uongo?I think if you log in, in Wikipedia, the free encyclopedia you can edit, in this case some one has added haya maneno (He is also a very "Mpumbavu sana")