He is Back and more crazy.

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Mwakilishi wa Tanzania na Mshindi wa pili wa Tusker Project Fame,Peter Msechu ametua Bongo na yupo Live Clouds FM.
 
jamaa kapiga laga yuko waruwaru kinoma anataka kuonana na JK ikulu.Anakiri Kiingereza kiko ugoko.
 
Anaomba maushauri toka kwa wadau kwani yeye bado si mwanamuziki mkubwa.
Kesho atakuwa Mombasa na Kidumu wanaperform.
Anawashukuru waTZ wote waliompigia kura.
 
du. haya mambo bana! mtu tayari anajiona maarufu, kalewa pombe wakati ndo kwanza kashuka uwanja wa ndege. ni kujidhalilisha. actually yule ni commedian zaidi kuliko musician! all n all, namtakia mafanikio.
 
Suala la kulewa umaarufu wakati bado asubuhi...
 
du !! YAANI KASHINDWA KUTOFAUTISHA HATA MDA WA KUPIGA ULABU? ELIMU YAKE NI IPI WAKUU?
 
To be honest huyu jamaa simpendi hata kidogo. Anapenda misifa, ni limbukeni, wakenya wanamwita comedian anapata bichwa hakuna lolote analochekesha. Sikuwahi kumpigia kura yangu, kura yangu nilimpa Aneth na Leah lakini bahati mbaya hawakufika mbali..
 
Wakuu msimlaumu sana kwani mmeshasahau yale mashindano wadhamini wake ni nani? (yanaitwaje?)
 
Wakuu msimlaumu sana kwani mmeshasahau yale mashindano wadhamini wake ni nani? (yanaitwaje?)

Duh! Kwa hiyo ndiyo ilikuwa chai yao? Jamaa kajitoa ufahamu kawa mjinga hasa.
 
tukubali au tukatae...dogo ni mwanamuziki mkali na anatisha...kunywa/ulevi kupindukia,akili kupindukia, uzinzi, uongo, roho mbaya na choyo hayo ni mapungufu ambayo kati yake kila mwanadamu analo moja alilozaliwa nalo au kuumbwa nalo na muumba...tujadili usanii wake na uanamuziki wake na sio mapungufu yake ya ki-binaadamu... Ni maoni tuu
 
huyu hana mda atafulia tu hivi karibuni kalivamia jukwaa kwa pupa hata kabla hajatoka /.. mimi kwanza sijui jina lake
 
ila tukirudi nyuma mbona wasanii ambao hawakushiriki mashindano ndiyo kazi zao zinaonekana? Pia sijapata kusikia mshindi au mshiriki wa BSS au TPF akiwa walau nominated kwenye tuzo yoyote?
 
ila tukirudi nyuma mbona wasanii ambao hawakushiriki mashindano ndiyo kazi zao zinaonekana? Pia sijapata kusikia mshindi au mshiriki wa bss au tpf akiwa walau nominated kwenye tuzo yoyote?
nakaaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…