He is my brother-a Kenyan in Tanzania

Naona huyo wainaina ni mcharuko mtupu, full kujiona matawi utafikiri anaishi sayari nyingine.

True Tanzanian!!!
 
Well, it's a good effort!

Ingawa binafsi sijamsamehe mkenya yeyote hadi hapo waziri wao wa nje atapoomba radhi kwa kuvuruga zile kura za shemeji yangu Shamsa mwaka juzi...sijui wapi kule?

Wanajitia kujua sana hawa! Hakuna.
 
Personally I saw Kenyans are westernised but realized later they patriotic to their tribes and very selfish with cruelity. As I stayed for a month in Nairobi I could not cope with they approach towards each among them.
In shops they can not say let say "naomba kilo moja ya sukari" rather they do command "leta" with a very high tone. Anyway.

Weapons zimezagaa among them at anytime they attack shops and take goods and the policemen observes.

They are grouped and orgenised into tribes thats why they see Tanzania as golden peaceful-land.

I love Kenyans as they could have did something if CCM were there.
 



Kiingereza kikileta shida si lazima kukitumia kakangu. Kiswahili chetu mbona kizuri tu!
Rais Hujintao wa China anajua kiingereza kidogo
lakini akitaka kuwasiliana vizuri na watu wamwelewe hutumia tu Kichina, anayetaka kumwelewa
atafute mkalimani.

Kiingereza si lazima kukitumia jamani. Ona sasa. Hapo juu nadhani ulitaka kusema
kitu muhimu sana lakini hujaeleweka vizuri.
 
Tanzania HAKUNAGA..That is why i will never go another place else..Proud to be a TANZANIAN..
 
Wacha jamaa afanye practise wewe,kama wewe unajua sana si uonyeshe alipo kosea.
 
What Binyavanga wrote is not a debatable statement of opinion,it is a statement of facts that only a man deeply rooted in ignorance in it is crudiest form of arrogance would dare try to laugh at.
 
Nimesoma juu yake kidogo Wikipedia as nilikuwa simjui ni nani, naona mambo yake sio mabaya yupo mbali.
 
Mimi nafikiri kaongeza chumvi kidogo, ili kusisitiza pointi yake. Siamini we can be that nice; especially ya mtu wa airport kumpa kahawa!
 
Beautifully written, Thank you for the compliments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…