Head bumps

Head bumps

asrams

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
4,798
Reaction score
2,652
Habari za jioni waungwana. Rejea kichwa cha habari . Nasumbuliwa sana sana na ugonjwa huu. Niliupata miaka 4 iliyopita nikivyoenda kunyoa kwenye kwa kinyozi. Nimetumia dawa kama amolg skin disease,sulfur8, rutuba jelly etc.
Nishaenda hospital sana lakini bado hamna mafanikio. Je kuna ushauri au dawa yoyote itayonofaa!! Shukran

Sent from my IPhone using Tapatalk
 
Kuna dawa ambayo mimi nimewahi kuitumia inayoitwa Acrason. Ip lwenye tube na inafanya kazi vizuri tu na inapatikana kwenye pharmacies mbali mbali.
 
Kuna dawa ambayo mimi nimewahi kuitumia inayoitwa Acrason. Ip lwenye tube na inafanya kazi vizuri tu na inapatikana kwenye pharmacies mbali mbali.

Asante Ndugu! Ntaitafuta haraka iwezekanavyo!

Sent from my IPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom