Headlights cleaning

Headlights cleaning

Kijoroo

Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
59
Reaction score
163
Habari zenu wana JF
Kuna hii huduma ya kusafisha headlights jamaa wanaitoa ukungu zinakuwa na muonekano Kama mpya. Hivi usafishaji huu hauna madhara kweli kwa taa za Gari hapo badae?
IMG_2725.jpg
IMG_2724.jpg
 
Ni hivi hizi headlights huwa na UV layer ambayo kazi yake ni kulinda headlights zisi oxidize (zisi tengeneze ukungu), sasa unaposafisha taa zako kwa njia yoyote kama hizi (kusafisha kwa kutumia scratch remover, au dawa ya meno au Polishing machine,au mashine za mvuke) hizi njia uondoa UV layer kwenye headlamp..sasa kila unaposafisha layer uondoka na unakuta tatizo linarudi baada ya muda mfupi (oxidation ina take place within short period of time because uv layer is no more) sasa inafika muda sasa taa hazisafishiki tena unalazimika nunua taa nyingine.. nini chakufanya, unapoamua kusafisha taa yako kwa njia tajwa hapo juu basi baada ya kumaliza rudishia UV protection kwakutumia special fluid zinazo tengeneza coat ya uv-layer..ukifanya hivi your Head lamp will be permanently restored.

Angalizo kuna watu huwa wanaenda pale rumumba wana bandika maplastic kwenye taa zao,then wanaambiwa waweke taa zenye mwanga mweupe eti taa isije tengeneza unjano..my friend don't be trapped kwenye hilo..tena avoid kuweka maplastic kwenye taa yako mpya kwan zile plastic uharibu taa.

Lakini pia kama wataka maintain headlights zako zikae mpya kama ujawah tumia haya mavitu ya kusafisha taa, basi usitumie kabisa bali chakufanya kua na tendency unapofika home safisha plastic ya taa zako kwa maji safi na sabuni, usiruhusu vumbi lililoko kwenye taa likakutana na unyevunyevu vikatengeneza kitu kama udongo mwepesi vikapigwa na jua kali vikakaukia kwenye taa na kung'ang'ania..hii hufanya taa in long run zina oxidize...hii kitu hata kwa body ya gari hasa gari nyeupe, ukiwa huna tendency ya kuosha gari unaacha mavumbi yanakutana na unyevunyevu then ule unyevunyevu na vumbi vikatengeneza kitu kama tope fulan hivi jepesi, lile tope likipigwa jua kali likagandia kwenye body basi oxidation itakua inakuhusu kwa kasi Sana...na baada ya muda utakua unaona rangi ya bodi inafifia (fade with time), so itakulazimu kufanya Polishing..but ukiwa na tendency ya kuosha gari na sabuni maalumu za kuoshea body ya gari na si sabuni ya unga, basi bodi na headlights zako zitang'aa muda wote
 
This what I use for permanent head light restoration..hiki ndo natumia kusafisha taa zangu permanently..ukiona hapo chini kuna UV block and clear coat...hicho ndo kinatakiwa kwa matokeo yanayo dumu kwenye taa za gari yako..na si kutumia scratch remover, or hizo njia nyingine zina haribu taa.
IMG_20220826_155934_758.jpg
 
This what I use for permanent head light restoration..hiki ndo natumia kusafisha taa zangu permanently..ukiona hapo chini kuna UV block and clear coat...hicho ndo kinatakiwa kwa matokeo yanayo dumu kwenye taa za gari yako..na si kutumia scratch remover, or hizo njia nyingine zina haribu taa.View attachment 2335566
Mkuu hii inapatikana wapi?
 
Mkuu hii inapatikana wapi?
Ninauza mashine ya kisasa ya kusafisha taa za gari ni mpya kabisa kwa bei nafuu...
Hiyo mashune ni suluisha la uchafu wa aina yoyote wa taa za gari unaweza kuitumia kwa matumizi binafsi na kwa ajili ya biashara
Kwa mawasilian NO 0659645794 AU 0628462722
20221224_123354.jpg
 
Ninauza mashine ya kisasa ya kusafisha taa za gari ni mpya kabisa kwa bei nafuu...
Hiyo mashune ni suluisha la uchafu wa aina yoyote wa taa za gari unaweza kuitumia kwa matumizi binafsi na kwa ajili ya biashara
Kwa mawasilian NO 0659645794 AU 0628462722View attachment 2456566
Mbona unauza bei sana? laki nane na nusu mkuu sidhani kama ndio bei yake.
 
Ni hivi hizi headlights huwa na UV layer ambayo kazi yake ni kulinda headlights zisi oxidize (zisi tengeneze ukungu), sasa unaposafisha taa zako kwa njia yoyote kama hizi (kusafisha kwa kutumia scratch remover,
Binafsi nawakwepa sana
 
Ninauza mashine ya kisasa ya kusafisha taa za gari ni mpya kabisa kwa bei nafuu...
Hiyo mashune ni suluisha la uchafu wa aina yoyote wa taa za gari unaweza kuitumia kwa matumizi binafsi na kwa ajili ya biashara
Kwa mawasilian NO 0659645794 AU 0628462722View attachment 2456566
Hizi ndo mashine zinazo ua taa za watu, yet hiyo price is below 800k
 
Back
Top Bottom