Ni hivi hizi headlights huwa na UV layer ambayo kazi yake ni kulinda headlights zisi oxidize (zisi tengeneze ukungu), sasa unaposafisha taa zako kwa njia yoyote kama hizi (kusafisha kwa kutumia scratch remover, au dawa ya meno au Polishing machine,au mashine za mvuke) hizi njia uondoa UV layer kwenye headlamp..sasa kila unaposafisha layer uondoka na unakuta tatizo linarudi baada ya muda mfupi (oxidation ina take place within short period of time because uv layer is no more) sasa inafika muda sasa taa hazisafishiki tena unalazimika nunua taa nyingine.. nini chakufanya, unapoamua kusafisha taa yako kwa njia tajwa hapo juu basi baada ya kumaliza rudishia UV protection kwakutumia special fluid zinazo tengeneza coat ya uv-layer..ukifanya hivi your Head lamp will be permanently restored.
Angalizo kuna watu huwa wanaenda pale rumumba wana bandika maplastic kwenye taa zao,then wanaambiwa waweke taa zenye mwanga mweupe eti taa isije tengeneza unjano..my friend don't be trapped kwenye hilo..tena avoid kuweka maplastic kwenye taa yako mpya kwan zile plastic uharibu taa.
Lakini pia kama wataka maintain headlights zako zikae mpya kama ujawah tumia haya mavitu ya kusafisha taa, basi usitumie kabisa bali chakufanya kua na tendency unapofika home safisha plastic ya taa zako kwa maji safi na sabuni, usiruhusu vumbi lililoko kwenye taa likakutana na unyevunyevu vikatengeneza kitu kama udongo mwepesi vikapigwa na jua kali vikakaukia kwenye taa na kung'ang'ania..hii hufanya taa in long run zina oxidize...hii kitu hata kwa body ya gari hasa gari nyeupe, ukiwa huna tendency ya kuosha gari unaacha mavumbi yanakutana na unyevunyevu then ule unyevunyevu na vumbi vikatengeneza kitu kama tope fulan hivi jepesi, lile tope likipigwa jua kali likagandia kwenye body basi oxidation itakua inakuhusu kwa kasi Sana...na baada ya muda utakua unaona rangi ya bodi inafifia (fade with time), so itakulazimu kufanya Polishing..but ukiwa na tendency ya kuosha gari na sabuni maalumu za kuoshea body ya gari na si sabuni ya unga, basi bodi na headlights zako zitang'aa muda wote