Elections 2010 Headline Magazeti ya Kesho!

Elections 2010 Headline Magazeti ya Kesho!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi nikifuatilia hii tsunami ya ushindi wa Chadema kwa Bara na CUF Zanzibar. Najaribu kuimagine headlines za magazeti ya kesho espc.magazeti ya Mtanzania, Uhuru,Habari Leo etc.
 
Wanabodi nikifuatilia hii tsunami ya ushindi wa Chadema kwa Bara na CUF Zanzibar. Najaribu kuimagine headlines za magazeti ya kesho espc.magazeti ya Mtanzania, Uhuru,Habari Leo etc.

May be "CHADEMA waiba kura na Kuchakachua Matokeo"

"Mbowe Amtia Kibao Msimamizi wa Kituo"

"Kesi ya Dr. Slaa kuendelea kuunguruma"

Haaa haaaa
 
ni maalim seif zanzibar! Wingi wa kura waipa wakati mgumu ccm kuchakachua
 
ni maalim seif zanzibar! Wingi wa kura waipa wakati mgumu ccm kuchakachua

Watajihangaisha bure...wakubaliane na hali walau wasubiri kuona wenzao watakavyoongaza nchi.. Vinginevyo zile plaster ambazo JK alizowaombewa wafanyakazi zitawafuta sooon!
 
Mtanzania,
Wachache wajitokeza wakihofia vurugu za Chadema.

Uhuru,
Dalili za ushindi CCM zaanza kuonekana.

Habari Leo,
CCM waongoza jimbo la Kawe Udiwani.
 
wengi hawajapiga kura...uchaguzi urudiwe

ndo wataandika ivi
 
Ccm wasusia matokeo,vijana wa chadema mwanza wakaa karibu sana kulinda kura!
 
Mhariri yeyote mwenye akili hadi sasa hana kichwa cha habari...Itabidi asubiri hadi walau saa 6 usiku..

Ila sitashangaa Magazeti yao yakija na vichwa vya habari kama hii...

JK aongoza kwa kura nyingi....Wapinzani chali.
 
Wanabodi nikifuatilia hii tsunami ya ushindi wa Chadema kwa Bara na CUF Zanzibar. Najaribu kuimagine headlines za magazeti ya kesho espc.magazeti ya Mtanzania, Uhuru,Habari Leo etc.

pasco umenichekesha sana, nasikia huko znz kwi kwi kwi kwi ccm hawataki kusaini matokeo?
 
Wataandika: uhuru-chadema wachakachua. Mtanzania: ccm yajitoa,oho!no,ccm yapata ushindi 89%kama synovate na redet walivosema. Teeh teeh! Habari Leo-Utabiri wa Sheik Yahya wahairishwa,asema kyomputa yake ilipata itirafu kwa iyo haikutuma kombora la kumuondoa mgombea mmoja.
 
wanabodi nikifuatilia hii tsunami ya ushindi wa chadema kwa bara na cuf zanzibar. Najaribu kuimagine headlines za magazeti ya kesho espc.magazeti ya mtanzania, uhuru,habari leo etc.

daktari wa kikwete apigiwa simu arudi kutoka marekani "alikuwa kwenye warsa"
 
Anataka kwenda Ikulu na mke wa kuazima- habari leo
Wambea wakubwa hao, wakome kabisa- Mtanzania
 
May be "CHADEMA waiba kura na Kuchakachua Matokeo"

"Mbowe Amtia Kibao Msimamizi wa Kituo"

"Kesi ya Dr. Slaa kuendelea kuunguruma"

Haaa haaaa

Ha ha ha ha ha ! hii imeniacha hoi, good humour!

Nami naongezea:
Umeme wakati Arusha
Bi kizee 120 apiga kura
mafuata si ya muungano
Sheni kufungua taasisi ya umma
 
Uhuru: "Kura nyingi zaharibika uchaguzi 2010"
MWANANCHI " Watanzania wapenda mapinduzi na kuiweka CHADEMA madarakani"
HABARI LEO, " madiwani wengi watoka CCM"
DAIMA " NURU YAINGIA TANZANIA"
 
Back
Top Bottom