Health Anxiety Disorder (wasiwasi uliopitiliza kuhusu afya yangu)

Zoro

Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
6
Reaction score
2
Habari zenu wakuu,

Ninachangamoto inanikabili kuhusu afya yangu, physically nipo sawa sina shida yoyote ila kuna hali ya wasiwasi wa hali ya juu hua inanijia na kuniambia ninaenda kupata ugonjwa mbaya sana.

Mwanzo ilikua inanijia tu randomly sasa hivi inanijia kila nikishika kitu chochote kilichoguswa na mtu yoyote au nikigusana na mtu, imekua changamoto sana nashindwa kushea kitu chochote nyumbani hata vyombo vya kulia chakula na ikitokea nimeshika kitu chochote basi nitanawa mikono hata zaidi ya dakika 40 hadi hofu ipotee.

Sehemu pekee niliyo comfortable kukaa na kushika vitu ni chumbani kwangu tu so nashinda chumbani kutwa nzima.

Hali ni mbaya sana wakuu sikutegemea kama ningemaliza hii week maana nimeshachoka sanaa. Kwa anaejua hospitali nitayopata psychiatric/psychologist mzuri naomba aniambie na gharama zipoje.

Asanteni.
 
Habari zenu wakuu

Ninachangamoto inanikabili kuhusu afya yangu, physically nipo sawa sina shida yoyote ila kuna hali ya wasiwasi wa hali ya juu hua inanijia na kuniambia ninaenda kupata ugonjwa mbaya sana.

Mwanzo ilikua inanijia tu randomly sasa hivi inanijia kila nikishika kitu chochote kilichoguswa na mtu yoyote au nikigusana na mtu, imekua changamoto sana nashindwa kushea kitu chochote nyumbani hata vyombo vya kulia chakula na ikitokea nimeshika kitu chochote basi nitanawa mikono hata zaidi ya dakika 40 hadi hofu ipotee.

Sehemu pekee niliyo comfortable kukaa na kushika vitu ni chumbani kwangu tu so nashinda chumbani kutwa nzima.

Hali ni mbaya sana wakuu sikutegemea kama ningemaliza hii week maana nimeshachoka sanaa. Kwa anaejua hospitali nitayopata psychiatric/psychologist mzuri naomba aniambie na gharama zipoje. Asanteni
Mawazo yako ndio yametengeneza hilo tatizo na ukaendelea kulikuza, na sasa unaliogopa, kimsingi hunantatizo lolote. Hizo zinaitwa deception msg hua zina popup anchotakiwa kifanya ni kuzipuuza kwani hazina ukweli wowote.
 
Asante nimeenda kwa wataalamu nimekutwa na OCD na anxiety disorder
 
Daaah labda hizo muvi zenu na sirizi mnazoangalia zina imajinesheni mpka zinawaambukiza
 
Back
Top Bottom