Health talk breakthrough

Health talk breakthrough

multitalented123

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
126
Reaction score
47
karne hii ya 21st century kuna magonjwa mengi sana ambayo yanapata nafasi ya kushambulia watu wengi sana, maduka ya dawa yamekua yakiongezeka kila mtaa ili kuweza kupambana na maradhi/magonjwa mbalimbali, mimi nimejitolea kuwashauri watu wote bure kabisa kwa tatizo lolote la kiafya ulilonalo.

kwa magonjwa kama pressure, cancer, kisukari, pumu, tezi dume,consitipation, uvimbe tumboni, kuumwa miguu na kuvimba, malaria sugu, vidonda vya tumbo, Upungufu wa nguvu za kiume, ugumba, mimba kuharibika, kukosa hamu ya kula, shambulio la moyo na matatizo mengine ya moyo,matatizo ya macho, maumivu wakati wa hedhi, stress n.k
nitakushauri na kuonyesha utumie nini ili upone, mengine ni vitu vidogo tu vya kujua ule nini basi tatizo lako linaisha

NB: nimekua nikifanya kwa mtu mmoja mmoja na imekua na ushuhuda mzuri hivyo nashauri mtu ambaye yuko tayari na mimi ni mtaalamu wa maswala ya afya pia
0629070395
 
Naomba ushauri wa Malaria sugu inajitokeza kila baada ya wiki 3
 
Back
Top Bottom