Health tips

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Habari wakuu ,
Karibuni tupate kushare tips mbali mbali kuhusu afya zetu,
Iwe kwa maelezo ama kwa picha,
KARIBUNI ,














 
TIPS MUHIMU KWA AFYA YA UBONGO
Afya ya mwili huweza kujengeka kwa kufanya mazoezi kama kukimbia , kubeba vitu vizito n.k
Hivyo basi afya ya ubongo hujengeka kwa kufikirisha(thinking) bongo zetu na kuepuka kufanya mambo hatarishi yanayo dhuru uboongo,
Ndio maana asilimia kubwa ya wasomi huwa na mawazo mazuri au fikra pevu kwa sababu walitumia muda mwingi kusoma na baada ya kumaliza masomo hujijengea mazoea ya kujisomea,
PITIA HAPA CHINI HIZO TIPS.










 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…