Healthcare investment

mrico

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
173
Reaction score
97
Habari Jf

Hii ni kwa mmililki au anayemfahamu mmiliki wa dispensary, inaitajika sehemu ndogo ya eneo au chumba ndani ya dispensary,, kwa huduma ya specialist consultation ambayo itakuwa kama partnership au kwa malipo ya makubaliano na mmiliki. kwa maelezo zaidi tuma PM au sms/call 0629154959

Location iwe magomeni,kinondoni,masasani,sinza hadi makumbusho.
 
consultation wa nini?

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…