Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unachemsha na kunywa supu mkuuTunayalaje sasa, napika au nakula mabichi tu kama sungura?
wanaita Rozella..kwa dawa nzuri ya anemia ni majani flani huota maeneo tunayoishi huwa ina viua vyekundu ukikinyonya kina utamu hivi.kila mtu ashachezea utotoni huwa ina kaduara flani.ukiichemsha hiyo unywe wiki tu.damu itajaa hadi ukaigawe hospitali