Tatizo kubwa kwa Oprah katika masuala ya women empowerment..herself she is not a role model...................financial and business succes at expense of long-term companionship is itself an anathema to being a relationships mentor........how many times do we confuse money with wisdom......................................?????????????????????????????
Si tunaweza fata maneno yake tu? kama tunavowasikiliza wachungaji makanisani, tunafata maneno wanayotuambia au vipi Ruta
Si tunaweza fata maneno yake tu? kama tunavowasikiliza wachungaji makanisani, tunafata maneno wanayotuambia au vipi Ruta
Thats the problem, mtu akiwa na pesa hata aongee pumba, anaoneka sawa tu na media inamsikiliza... I believe ndo akina Trump hao
Gaga tokana na influence yake kwa watu, kuna wamama wana mu idolize huwambii kitu, si wote waweza pembua la kufuata na kuto fuata.. Huwezi jua inawezekana hata kuna ndo zimevunjika kwa ajili ya maneno yake, tatizo these things you never know...
Wanawake bwana...kila siku ni hadithi za men, men, men! Kwa nini mnaangaika na men kila siku kama wanawaboa?
Chapakazi tutaishi vipi hapa duniani bila nyie men kuwepo??? na vice versa - issue ni kua kitu na suala moja the way anavyolitambua na kufafanua mwanamke ni tofauti kabisa kwa mwanaume anavyolitambua na kufafanua... Kuna kitabu kizuri sana kinaitwa Men are from Mars women from Venus... Hata hivyo hebu fuatilia vizuri thread za hapa MMU yaani almost nyingi ni wanaume wakizungumzia mwanamke either kutaka kumwelewa au kuchambua...