Yaani umepimwa hospitali huna tatizo, kweli unategemea daktari wa online akakwambia unaumwa nini? au huwaamini walokupima?
Jaribu hospitali nyingine.
By the way palpitations (moyo kwenda mbio) zinaweza kusababishwa na mshtuko pia au wasiwasi ulipitiliza ambapo mwili huzalisha catecholamines kwa wingi ( nadhani unakumbuka form four ile hormone adrenaline ya fear, fight and run) hufanya moyo uende kasi kuongeza mwili wa damu kwenye misuli ili ujiandae kuikabili hatari iliyoko mbele yako.
If fear and worries are the sources of your palpitations then hospitali hawataona ugonjwa.
Kamuone Dr Mwandolela, Heameda Clinic Upanga, Scouts Headquarters karibu na diamond Jubilee, ni cardiologist (daktari bingwa wa Moyo), akikwambia huna tatizo ujue kweli huna tatizo, he is good.