pole sana Masaki.this is lyf.nimefurah kumbe da same tym nasafa na ww ulikua unaumia.usiwalaumu sana wanawake coz hatawanaume mnaumiza kupitakiasi.am heart broken too najana ndo ilikua mbaya kuliko zote.ila nikujipa moyo nakusongesha,lets belive kwamba waletuliopangiwa kuishi nao tena kwa furaha bado tujakutana nao.nakuombea ujasiri katika hilo.
watu wanakataliwa palepale kanisani mbele ya mtumishi wa bwana,shukuru wewe angalau umejua mapema.real tears are not those that fall from the eyes and cover the face, but are those that fall from the heart and cover the soul.
I don't have tears on my face but my heart is crying tonight. Nami namuomba sana mungu awape wanawake hekima ya kutambua na kuheshimu hisia za wenzao. Wawe na busara ya kutambua na kuheshimu hisia zilizopo kwenye mioyo ya wenzi wao! Four years in a relationship have vanished in matter of few days! Worse enough na tarehe ya harusi ilishapangwa. I am heart broken again!! For the second time!! Last time was 2005, i wasted so many years trying to recover and also learn to trust women again. It took time and eventually my heart was softer enought to love again! Now see what i have got from a woman tonight! Nothing but pain!!
Pengine kuna tatizo lilijificha ambalo silifahamu. Kwa upande wangu kama mwanaume na kama binadamu mwenye mapungufu yake, inawezekana kabisa nimewahi kuwakwaza au kuwaumiza baadhi ya wanawake katika hisia zao. From the bottom of my heart, namuomba mungu anisamehe pale ambapo niliwahi kumuumiza mwanamke katika mapenzi na hisia zake!
Kwenye mahusiano yetu mimi nina mikono misafi kabisa...Tamaa zake tu za kupenda mambo makubwa. Hawajui wanaume yule....! Ataachwa mchana kweupe akishachokwa!
Asante sana BAK! Honestly, its 4:46am here in Dar now and I can't sleep! My heart is crying!
Maskini kuna nini tena mtu wangu...hee toka miaka ile mpaka leo mtu anatokea na kuuvunja moyo wako Lol
Mungu ni mwema piga moyo konde yupo aliyeandaliwa maalum kwa ajili yako
I am deeply sorry!
I am deeply so sorry!!!
Masaki:
Stop crying
Get up and move.....
Maisha haya ni mafupi sana, hatupaswi kutoyetendea haki kwa kusononeka kwa sababu ya mapenzi ya mtu mmoja. There are lots of girls down here ambao wanaweza kukupa raha mpaka ukaishia kujiuliza ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE HUKUWAJUA MAPEMA?........ Yalishanitokeaga mara moja, I learnt my lesson.........no one will ever break my heart again. NEVER!
Iweke tu Mjukuu then una acknowledge tu....Masaki naomba huo msitari wa kwanza kwenye post yako niuweke uwe signecha yangu please?
Iweke tu Mjukuu then una acknowledge tu....
Real tears are not those that fall from the eyes and cover the face, but are those that fall from the heart and cover the soul.
I don't have tears on my face but my heart is crying tonight. Nami namuomba sana Mungu awape wanawake hekima ya kutambua na kuheshimu hisia za wenzao. Wawe na busara ya kutambua na kuheshimu hisia zilizopo kwenye mioyo ya wenzi wao! Four years in a relationship have vanished in matter of few days! Worse enough na tarehe ya harusi ilishapangwa. I AM HEART BROKEN AGAIN!! For the second time!! Last time was 2005, I wasted so many years trying to recover and also learn to trust women again. It took time and eventually my heart was softer enought to love again! Now see what I have got from a woman tonight! NOTHING BUT PAIN!!
Pengine kuna tatizo lilijificha ambalo silifahamu. Kwa upande wangu kama mwanaume na kama binadamu mwenye mapungufu yake, inawezekana kabisa nimewahi kuwakwaza au kuwaumiza baadhi ya wanawake katika hisia zao. From the bottom of my heart, namuomba Mungu anisamehe pale ambapo niliwahi kumuumiza mwanamke katika mapenzi na hisia zake!
Pole.. ila kabla ya kumtupia lawama moja kwa moja huyo mchumba wako, ingekuwa vyema ukajiangalia na wewe mwenyewe upya. Isije kuwa una vijitabia visivyovumilika sasa mtu anaona kuliko kuingia ndoani, ni bora nusu shari kuliko shari kamili. Huwa kuna watu mabingwa wa kutupia lawama wenzao kumbe ukichunguza kwa makini unakuta wenyewe ndo chanzo cha migogoro yote.