Heart broken again


Asante Maty...! Hapo kwenye bluu nadhani kutanisaidia sana.
 
kuachwa ni shughuli pevu, pole sana masaki, shinda JF utapunguza mawazo
 
Pole sana Masaki, mshukuru Mungu amekuonyesha kabla hujaingia kwenye ndoa, naamini bado hujakutana na mke wako, pia naamini yupo nae anateseka kama unavyoteseka.
 
pole sana masaki, mshukuru mungu amekuonyesha kabla hujaingia kwenye ndoa, naamini bado hujakutana na mke wako, pia naamini yupo nae anateseka kama unavyoteseka.

amen!!
 
...dah, waweza jihisi kama umeharibiwa maisha kumbe, 'likuepukalo lina heri na wewe'...usilaumu yaliyotokea, furahia yametokea kabla hujajifunga na pingu ya maisha.

Pole sana bro Masaki.
 
...mnnh, maty katika mifano yote umeona malaria kwakuwa yasababishwa na mbu? Haya bana. Bro masaki, 'there is always a light at the end of a tunnel'...ipo siku utakuja shukuru breakup hii ilitokea june 2011. Everything happens for a reason.
 
Pole sana. I real liked that you are not the one who is at fault, and that is my principle in a relationship. i always play my part so that when things do not work out ,should not be the one to blame pamoja na kwamba nitapata maumivu lakini sikuchangia. Pole sana kwa mara ingine,jipe moyo pick up the pieces and move on.
 
Pole kaka.Ndio Maisha.Atakuja wako wa ukweli.wewe Mshukuru Mungu kakuondolea huyo mtu mapema katika stage za mwanzo kuliko mngefunga ndoa na pengine kuwa na watoto then yakukute kama hayo.
 
Dah! Pole sana masaki bt amini yote yanapita2 utasahau na utapata m2 atakayekupnda kiukweli na hatokuumiza kamwe! Pole sana Mungu akusaidie pia.
 
Pole sana mkuu. Soma signature yangu. Uitafakari. Ndo ujumbe wangu kwako. Mungu akuongoze kwenye mwanga.
 
Pole sana Masaki
binadamu katika maisha anapita kwenye mabaya/mazuri................ ni ngumu kukubali unapofikwa na jambo baya ipo siku haya yatapita utakuwa mwenye furaha na amani tele
 
Pole sana!

My advice might not be very good, but probably will help you next time you fall in love....keep room/one door open for disappointment... you might need it one day!

All in all, life has to go on my brother...
 

...akili yangu yataka kukwambia hapana, lakini moyo wanambia upo sahihi kabisa.
Kuna kipindi nilikuwa najifariji na wimbo wa Tupac - 'There You Go!'

Dah! Pole sana masaki bt amini yote yanapita2 utasahau na utapata m2 atakayekupnda kiukweli na hatokuumiza kamwe! Pole sana Mungu akusaidie pia.

...mnh, hiyo kamwe hebu iweke kwanza pembeni. Reservations muhimu, ...otherwise utakuwa hajajifunza alipokosea.
Mapenzi na Ukweli ni somo lililoniumiza vya kutosha maishani.

I hope and am really praying maishani nisijechezewa tena kama nilivyopata chezewa. Sijui reaction yangu itakuwaje kwakweli...hata kufikiria hilo huwa naogopa!....I will love wholeheartedly anyway!


Pole sana!

My advice might not be very good, but probably will help you next time you fall in love....keep room/one door open for disappointment... you might need it one day!

All in all, life has to go on my brother...

pheeewwwww!...mapenzi haya!
 
Last edited by a moderator:

Thank the LORD 4 THE ABUNDANCE OF EVERYTHING.....................God is trying to tell u something but the question is are you listening?

Do not worry about how many relationships have flopped but consider the pain of marrying someone who is going to hurt you for the rest of your days,,,,,,,,,,,,,,,,,,better face the pain 2day and learn how to cope with the loss rather than having been forced to endure rejection with someone whom shares your bed on daily basis........................and there are many of these despicable characters out there.......

Usiwe na tabia ya kuwaombea ma-ex..............bad luck but wish them a happier ending like in Hollywood movies...............................usipofanya hivyo inaashiria ya kuwa umewawekea kinyongo ambacho kitakuumiza wewe badala ya mlengwa ambaye ataendelea na shughuli zake bila ya kujua majonzi yako........................
 
I can join the rest to say pole, but what i want you to say to uaself confidently infront of the mirror,is "there is one special laddy 4u, whom God 'l make her mywife'say those words mybrother and have faith on that.'a setback is a step for comeback' do not forget that. I pry that ALMIGHTY GOD to give strength to watch foward for ua wife and not suffer 4 a lady who was nt created to be ua wife. Amen
 

Let her Rot in hell bana,...potelea mbali kinyongo changu,...I HATE HER!
Siwezi semea mtu roho yake, ....uchungu wa kuumizwa labda watofautiana baina ya mtu na mtu
lakini mimi najua machungu yake, Siwezi sahau "the way she made me feel!"

Si umeona MASAKI kakesha usiku kucha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…