Heart broken again


Mbu, nashukuru kwa ushauri wako. Nafarijika pia kugundua kwamba kumbe kuna watu wengine pia wamewahi kupitia haya ninayoyapitia leo hii na wakayashinda. Nafarijika kuona kwamba waliweza to pick up the pieces na kuendelea na maisha. Inanipa nguvu kwamba pengine nami nitayashinda tu haya mapito na nitasonga mbele!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
...najuta kumsoma huyu bwana (i took it personal)...nadhani nilikuwa nime delay some grief...nimekumbuka kila aina ya usaliti... hili ni kovu...hata kama limepoa, alama imebakia (haifutiki.) Lizzy kalale,...lol!
kOVU UKILISUGUA SANA HUGEUKA NA KUWA KIDONDA. Don give up the fight stand up for your right.
 

Umenigusa na umenifariji. Thanks very much!
 
Asante mkuu, hapo kwenye bluu pamenifariji sana!

Shukran mkuu.

La msingi "kumbuka" katika kipindi hiki cha mpito u mdhaifu.
kuna 'wawindaji haramu' wanaowinda wadhaifu kama wewe...
Angalia unauweka wapi moyo na mawazo yako.

Nawaunga mkono wanaokushauri ongeza Ibada,
kwani Mw'Mungu yu karibu nawe zaidi katika kipindi hiki.

Usipokuwa makini Katika kipindi hiki cha maombolezi
utajikuta unafanya makosa makubwa sana yatayokugharimu sana maishani.
I have been there, am talking through my experiences.

Mind you,....'baby come back' pia yaweza kutokea,...
akili kichwani mwako hapo. Lazima uwe na maamuzi thabiti
nini unataka maishani mwako.

Is she "worth" the pain she's causing you? Truth Hurts...
Jifikirie!
 

Hapo kwenye bluu nimepapenda sana! Asante sana!
 

Hapo kwenye bluu nimecheka kwa sauti kabisa. Mbu, I know the feeling. Mtu ambaye hajawahi kupitia haya anaweza asikuelewe kabisa! Pole pia mzee!
 
Reactions: Mbu

Mungu akuongezee busara mkuu. Hapo kwenye namba tano pamenisaidia sana. Kwa sababu dalili zilipoanza kujionesha kwamba ninaibiwa niliamua kuacha pombe kabisa. Na imenisaidia sana to keep my feet on the ground. Otherwise the situation would have been worse by now! Thanks!
 
was she happy with your relationship? and how did you know??

Had she not been happy, she wouldn't stay for 4 years. Had she not been happy, she wouldn't ask me to see her parents. I did not force her to introduce me to her parents! She initiated the whole move, bila ya shinikizo lolote. Sasa kama asingekuwa happy asingefanya hayo yote!
 

Duh! That is cruel and heartless kwa kweli. Pole sana kama yalikukuta wewe hayo uliyotolea mfano hapo juu!
 

Asante sana. Nimepata faraja kubwa kuliko hata nilivyotarajia kutoka hapa jamvini. Nilikuwa najua kwamba JF kuna watu wema na wenye busara sana, lakini sikujua kama ni wenye busara na wema uliopitiliza kiasi hiki kwa kweli. Najiona kama nimeutua mzigo mzito niliokuwa nao.

Kuna wale ambao naweza kusema ''they went an extra mile'' kwa kunifuata PM ili wajue kwa undani yaliyonisibu na watoe ushauri wa kina. Wamenisaidia sana, na Mungu awabariki! Waendelee kuwa msaada kwa watu wengine pia kwani maisha yanaendelea!
 

Hapo kwenye bluu pamenichekesha sana!
 
Dah Masaki nimesoma mpaka nimelia nakosa cha kuandika kabisa zaidi ya kusema POLE SANA na muombe Mungu akusaidie usikate tamaa maisha tunayoishi huwa yanachangamoto zake so endelea kuomba na kusali sana.

Asante and Amen! Naamini haya yatapita tu.
 

Mbu, hapo kwenye bluu NEVER, it may only happen OVER MY DEAD BODY!
 
Mbu, hapo kwenye bluu NEVER, it may only happen OVER MY DEAD BODY!
Never say never Masaki huwezi jua uliloandikiwa, tushawaona walioapa miungu yote siku ya siku waliinamisha vichwa vyao chini
 
mkuu evrythng hapened2human thy hav reson behnd b proud of uaself tht u escape the darknes tht was infrnt u.,never gv up u wl sum1esl..pole
 
Never say never Masaki huwezi jua uliloandikiwa, tushawaona walioapa miungu yote siku ya siku waliinamisha vichwa vyao chini

Siwezi kurudi kwenye psychological tourture kama ile Gaga, siwezi!!
 
Hey Masaki,pole sana kwa umizo la moyo,truly it hurt so so much ila usijione mwenye mkosi bali Mungu alikupa muda wa kujifunza tena.Remember,"in life we can not avoid change,we can not avoid loss.Freedom and happiness are found in the flexibility and ease with which we move through change"

Ushauri wangu "Acknowledge your emotions.Monitor your thoughts and be open to possibilities............".
 
Pole sana Mkuu lakini sitaweza kumhukumu huyo mwanamke kama wengine walivyofanya kwa vile sijasikia version yake ya story. Na kwa vile hii ni mara ya pili nimeshindwa ku make conclusion. Otherwise, pole sana na move on. Usijione kama wewe ni victim pekee wa mapenzi. Wengi sana wameshafikiwa na haya. Utakuwa na mengi mazuri kwenye maisha yako, so stick to them and move on.
 
Ayachukulie kama majaribu tu ya dunia, na jiweke busy na shughuli unazopenda, usirush kwenye mahusiano mengine unaweza angukia pabaya, jipe muda na mambo yote yatakuwa murua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…