INAUZWA Heat press printing machine for sale

INAUZWA Heat press printing machine for sale

b4theg

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
356
Reaction score
1,208
Heat press machine
Bado mpya kabisa

Kazi zake, kuprint t-shirt,handkerchef vikombe, kofia, jersey (jezi),sahan nk.
Bei 1m

0714030003/0735040004
Maelewano kidogo

Itakurudishia hela sana kipindi hichi cha uchaguzi na hata baadae.
20200709_143912.jpg
20200709_144211.jpg
IMG-20200709-WA0010.jpg
20200709_152509.jpg
20200709_152544.jpg
 
Mfano nikiichukua..... Material za maandishi tofautitofat au namna ya kutengeneza picha ya mteja ktk kikombe? How l will do
 
Mfano nikiichukua..... Material za maandishi tofautitofat au namna ya kutengeneza picha ya mteja ktk kikombe? How l will do

Namna ya kutengeza ipo hapo kwenye link. Materials zipo dar.
 
Ukishanunua hii machine unahitajika kununua nini tena ili uweze kufanya kazi,na gharama zikoje?
 
Back
Top Bottom